Diamond Ampeleka Mpenzi Wake Zari Songea..Watua na Ndege ya Kukodi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama ni Kufika basi kwa Zari Diamond Amefika Mwisho wa Reli Kigoma, Toka mapenzi yaanza Diamond na Huyu Mrembo imekuwa tofauti kidogo na wapenzi wake wa nyuma..ambao alikuwa haongozani nao.....



 kwenye Show zake ila huyu wa sasa ni mguu kwa mguu....

Hapa kwenye picha wakiwa uwanja wa ndege wa Songea ....

Diamond Ameandika Hivi:

SONGEA!!!! SONGEA!!! SONGEA!!! niko mjini kwenu hapa Leo!.. tukutane uwanja wa #Majimaji... Mchana huu, kwenye Hafla ya CCM... Tena, Kiinglio ni Bureeee 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna watu mwaka huu watatamani wanywe sumuuuu!!! Wanajuta kumfahamu dimond.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAHAHAHA NI KWELI ROHO ZINAWAUMAJE???

      Delete
  2. Ni sawa ila iwapo bibie iwapo kweli ni pregnant usifikiri una marafiki tu wapo maadui hawafurahii mafanikio yako wako wanaoendelea kumumezea mate Zari anaelewa kuwa unagombea kama mpira wa kona lakini ni muda muafaka kujali kiumbe iwapo kipo inawezekana unakwenda kumtambulisha kwa Baba Mkwe.. .. .. .. .

    ReplyDelete
  3. Napenda kazi za Diamond lakini uhusiano wake Na huyu mama sina amani nao sijui kwanini, ingawa wamependezana sana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU TU HUO HAKUNA KWANINI?

      Delete
  4. We unawivu sema hujijui!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio ana wivu huyo hakuna cha kwanini hapo

      Delete
  5. Wapi timu upuuu!! Yani domo we ni fimbo kwa wasiosoma nyakati! Na upo na PhD ya kuwatumia akina Wife material, Proud wife 2be kwa kuchukua tuzo za kili, ili mambo yko yasongo ongera. Wapi timu wife 2be!!! Ukitaka kula mbwa domo kula aliyenona kama ulivyofanya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. YES UKITAKA KULA NGURUWE KULA ALIYENONA !!!!! Big upo Diamond!! We mkali

      Delete
  6. Huyo ni timu kingereza wivu utawanyonga mwaka huu. Pamoja na umama wake watt 3 lakini uwezi mringanisha na kibibi michirizi wenu, nisijue kajisauti Ka kuigiza na kiswanglish!! Lakini kwa uzuri na pesa na mengine kadhalika uuukiongeza kidogo watanyinyonga kwa mlenda. Wapiiii murano yetuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  7. DIAMOND NAKUPA TANO MMPENDENZA SANA MIYE NAWAOMBEA MUNGU MAISHA MEMA JAMANI

    ReplyDelete
  8. Jamani Dai Na Zari wanapendeza yani kimo mule mule size inatakiwa mwanaume amzidi kidogo mwanamke ila naogopa Kama ville Zari Ana ajenda yake halafu atasepa siamini kila nikmuangalia Zari duu haya tuwaombee.Yani katika wanawake wote huyu funika bovu ingawa wanasema age imeenda laikini mmh utafikiria hajafika 30

    ReplyDelete
  9. du kazi ipo haya yetu macho

    ReplyDelete
  10. du kazi ipo hapo

    ReplyDelete
  11. Age sio tija cha muhimu mapenzi ya dhati. miye huwa nashangaa mzee wa miaka 60 anaoa bint wa miaka 18 hapo watu hawasemi wanaona sawa ila mwanamke akiwa mkubwa ndio inakuwa issue. maria carrie ana miaka 45 na mumewe waliyezaa naye ana 25 lakini wapo pouwa tu kwa waswahili maneno maneno tu madona 54 mumewe 30 na kitu maisha yanakwenda tu. zari na diamond wako poa sana miye nimeipenda sana couple yao yaani nawaombea maisha mema na mdumu kwenye uhusiano wenu watu watasema sana msiwajali hao. Wana wivu haoooo!!! diamond uliimba mtunze huyo dada Diamond pls!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Umri c tatizo ni namba tu. Na tumejionea kwa zari miaka 32 lakini utadhani 26 kama ya bi magazeti! Bibi magazeti akifikisha miaka 32 na watoto 3 atakuwa nikama panya kadondoka kwenye maziwa! Ni kweli ukitaka kula NGURUWE chagua aliyenona!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad