Flora Mbasha Afunguka Mazito Mpaka Mengine Hayawezi Elezeka Kuhusu Mumewe Mbasha, Ni Hatari Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia.. nimekuwa nikinyanyaswa kijinsia na
mume wangu na sikuwahi kutoa taarifa mahala popote kutokana na vitisho alivyokuwa akinitisha.

Watu Wengi wanafikiri nilikuwa na ndoa nzuri sana lakini kumbe nilikuwa Nikivumilia tu Kwani niliamini ipo siku atabadilika maana nilimpenda sana mume wangu.Nilijaribu kuficha huzuni na maumivu yangu kila nilipotoka na mume wangu kwenda kwenye Huduma au mahala pengine penye mkusanyiko wa watu.

Sijawahi hata Mara moja kutoa taarifa hata kwa wazazi wangu juu ukatili niliokuwa nafanyiwa na mume wangu.Kwanza sikutaka kumvunjia heshima kwa ndugu zangu na pia alikuwa akinitishia kuniua na kuongeza kunifanyia ukatili huo.

Kutokana na historia yake ya nyuma alikuwa na uwezo wa kunifanya chochote na ndiyo maana nilikuwa nikimwogopa sana.

Siku zote nilikuwa akilala na panga kitandani ambalo ndilo alikuwa akinipiga nalo na kuapa kunichana chana Mwili Kabla ya kuniua.

Kipigo hicho nimekuwa nikikipata hata ninapokuwa kwenye Huduma bila kujali natakiwa kuwa kwenye mood nzuri ili ni perfome vizuri.

Nimevumilia muda mrefu lakini ndo mateso yakawa yanazidi na kufikia hatua ya kufukuzwa akidai yeye ana mwanamke mwingine wa dini yake ya zamani hivyo anataka amlete hapo nyumbani.

Nilikataa kuondoka na kumwambia amlete tu, tutaishi wote mimi nitakuwa nikilala chini maana nshazoea siku zote Amekuwa akinilaza chini ,alivyoona siku zinazidi kwenda na mimi nimegoma kuondoka basi akaamua sasa isiwe siri ya chumbani tena Akawa ananitoa ananipigia sebuleni na anasema nataka mtoto na wengine wote wajue kuwa huwa nakupiga humu ndani.Ikafika hatua anataka kunitoa nje ya geti ili majirani wajue kuwa huwa napigwa na anifukuze mbele yao.

Kwa Miaka yote alinizuia kufungua account bank na kudai kuwa yeye ndo mwanaume hivyo pesa zote ataweka yeye. So pesa zangu zote nilizokuwa naingiza alikuwa akichukuwa yeye na kuzihifadhi kwa account yake binafsi.

Sikuwa nikibaki hata na mia.Nilijaribu kufanya biashara lakini napo pesa zote akawa akichukuwa yeye ikabidi niache.. Nikitaka hata vocha ya mia tano Lazima nimwombe hela na niitolee maelezo ninampigia nani.

Mume wangu kwa kipindi chote hakuwahi kuwa na kazi yoyote zaidi ya kunifanya mimi ndo biashara yake. Lengo lake ilikuwa ni kunitumia mimi kwa maslahi yake na sio upendo kama mke wake.

Hakuwahi kunipenda hata yeye mwenyewe hukiri kuwa alinioa tu basi ili afanikiwe kwenda ulaya kwa kuwa mimi nilikuwa nikisafiri na babu yangu.

Na yeye kila akijaribu kwenda nje anashindwa. Kuna mambo mengi ya ukatili aliyokuwa akiyafanya ndani siwezi kuyasema kwa ajili ya maadili na pia bado Ninamheshimu kama mzazi mwenzangu. Alipoona siondoki pamoja na vipigo, matusi na kunifukuza kote.

Akasema nitahakikisha nakufanyia jambo ambalo utaondoka mwenyewe humu ndani bila kupenda sitaki kuzungumzia suala ambalo liko mahakani ingawa hilo nahisindilo alilokuwa kadhamiria ili tu niondoke.

Nilijaribu sana kumsihi tukae kikao na wazee ili watushauri na kutusaidia lakini nilikuwa nikiambulia matusi tu ya nguoni ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Siku niliyoondoka nyumbani alidhamiria kuniua alidai hata akiniuà hakuna atakaye amini kuwa ni yeye kaniua, na ni kweli maana sikuwahi kushtaki mahala popote.

Alichukuwa panga akanipiga nalo kisha akaniniga hadi nikaishiwa nguvu .Aliponiachia sielewi nilitokaje ndani. Ugomvi mkubwa ulitokana na mimi kukataa kufanya tenda la ndoa kinyume na maumbile.

Amekuwa Alinipiga na kunilazimisha kufanya tenda hilo kinyume na maumbike kwa miaka mingi lakini nikisema bora nife kuliko kutendewa ukatili huo.Amekuwa akidai kuwa wanawake tumeumbwa ili tufanyiwe tenda hilo la ndoa mbele na nyuma so ni haki yake.

Niliondoka kwake nikiwa na sh elfu mbili tu. Nilimwachia kila kitu nyumba gari na pesa zote zikiwa kwa account yake zaidi ya milioni 50.Sikuwa na uwezo wa kutoa pesa maana ni account yake binafsi.

Nimejitahidi sana kumwita kwenye vikao hata vya familia ili tu tujaribu kuzungum za lakini amekuwa akionesha dharau tu na kusema yeye haitaji ndoa tena anaoa mke mwingine hivyo hawezi kusuluhishwa.

Ingawa Amekuwa akidanganya sana kwenye media. Nilimwuliza Unapata faida gani unapodanganya watu kuhusu mimi?

Akasema yeye amechafuka kwa ubakaji so acha na mimi nichafuke na akasema atahakikisha sifanyi huduma sehemu yoyote labda nihame nchi.

Kama msg hizo angekuwa amezituma bila kuandika na matusi ningezikopi but zaidi kauli zake ni za matusi. Hivyo imefika mahali nimeona bora tuachane kisheria na pia nipate haki yangu maana mume wangu anajivunia mali ambazo hakuzitolea jasho yeye na huku anawatapeli watu kwa kudai kuwa hana pesa maana mimi nimeondoka nazo wakati ni uongo mtupu.

Mimi ninapanda daladala siku hizi sababu sina uwezo wa kuwa na gari hadi niazime kwa marafiki zangu. Mume wangu amekataa hata kumsomesha mtoto sasa hivi nahangaika kutafuta ada ili mtoto arudi shule lakini pesa yote anayo anayo Mbasha.

Sasa sijui hapo ananikomesha mimi au mwanaye.!maana urithi wa mtoto ni elimu bora na mzazi anayempenda mwanaye atapambana ili kuhakikisha mtoto anapata elimu bora.

Nilikaa kimya muda mrefu sikutaka kuzungumza lakini imefika mahali Nimechoka maana huyu bwana hajiheshimu. Tukikutana anasema sio yeye anayepeleka habari mitandaoni.

Ninaomba wanaume wenyewe Mfano wake waache kuwafanyia ukatili wake zao majumbani.Najua wako Wengi sana wanao nyanyasika kama ilivyo kuwa kwangu lakini Hawana sehemu za kukimbilia Hivyo wanavumilia tu na mwisho wa siku wanakufa na kuacha watoto wakiteseka.

Mimi Nilivumilia zaidi ya Miaka 8 lakini imefika mahali enough is enough. Maandiko matakatifu yanasema, ndoa haivunjwi isipokuwa kwa uasherati.

Acha nife kwa mapenzi ya Mungu na sio kwa mapenzi ya mtu..Na ni naamini sitakufa mpaka ndoto zangu zitimie.

Mume wangu ameapa kuwa atahakikisha sifanyi Huduma tena lakini ninasema katika Jina la YESU, kama Bwana aishivyo, mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu Hivyo mmalizaji wa Huduma yangu ni Mungu mwenyewe.

Na sasa ninajipanga kumwimbia Mungu kama sitaimba tena.Wakati mwingine usipokuwa mwangalifu ndoa inaweza kukukosesha ufalme wa mbinguni hasa Ukiingia kwenye ndoa isiyo sahihi. Ninampenda sana mume wangu lakini ninampenda Mungu wangu zaidi. Ahsante.

Nimeamua kuandika Maana Nimechoka kuficha maovu aliyokuwa akinitendea.Nimemtunzia heshima muda wote maana sikutaka jamii imjue ni mtu wa aina gani but yeye anatumia ukimya wangu kama udhaifu so naona bora niweze wazi ili jamii imtambue mimi yamenikuta najua Wapo Wengi tu wanapitia mateso niliyoyapitia mimi.

Kutokana na vitisho wanaendelea kunyanyaswa. That is not fair kwa kweli.Mimi ningekufa Kabla ya wakati wangu lakini namshukuru Mungu niko hao hata sasa na pia ili kuwaonya wanaume wanaume wenyewe tabia kama yake.

Kama umemshoka mwanamke achaneni kwa amani sio kumnyanyasa mwanamke kama alivyokuwa anafanya Mbasha kwangu.

Ninapinga vikali unyanyasaji wa wanawake na watoto majumbani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

49 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Loo,kumbe Mbasha jambazi.

    ReplyDelete
  2. mulikuwa waimbaji wazuri tu mukaonekana mukisifia ndoa yenu na wimbo upo inaelekea mulikuwa wanafiki zipo tuhuma mulimsingizia ASKOFU KULOLA kuwa kawaibia LAKITATU sina uhakika muliwahi kukiri na kuomba msamaha au mutakuwa washirikina kwenda kutubu kando ya kaburi

    ReplyDelete
  3. Jamani haya ni mazito na yanahitaji Neema ya Mungu....Naamini hakuna lenye mwanzo likose kuwa na mwisho.. Mungu baba naomba uembelee familia hii na kuitoa katiak mapito haya magumu... Poleni

    ReplyDelete
  4. Hao ndo wanawake when things go wrong they don't know what to say they just explodes,I'm trying to think twice on these explanations bt I see a lot of breaches in continuity..seeing her caliber can she handle all these for all these years, I suspect,anyway may god bless them and us

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulitaka akamwambie baba yako? we punga si haba,english yako broken kama makalio yako.

      Delete
  5. hata huyu frola lazima kuna mengine kaongeza chumvi

    ReplyDelete
  6. Hawa wanaojifanya walokole ni hatari sanaa kwa uongo, wanadanganya kwa kutumia biblia. Hizi story za huku dada sidhani kama zina ukweli ndani yake. kama kweli Mbasha alikuwa akimlazimisha kufanya penzi kinyume na maumbike kwa miaka minane, alikuwa wapi muda wote huo? kwa taarifa anayoitoa nafikiria kwamba na yeye alikuwa akimpa mkudu pia alinogewa sana ndio maana alikaa kimywa. Huyu Flora ana piga kelele za bure kutaka attentions, anapenda sana kugawa nyuma kila mtu kwenye kundi letu anafahamu hivyo, kwa hivyo akae kimywa asubiri mwisho wake

    ReplyDelete
  7. Baada ya kuzaa ndipo unaandika utumbo maneno hayo uliyoandika bora mbele za mungu ungeomba mungu ndiye akusimamie .ukiwa kama mkristo kwa sababu ukristo ni gharama.kapimeni DNA ya mtoto na mme wako mbasha kisha ndipo uandike hayo

    ReplyDelete
  8. Sio kweli hata kidogo, lazima tu kunamtu anafadhili pambano hilo. na naomba tusilete utani na Mungu kama nyie hamumuheshimu sisi tuna Mtii

    ReplyDelete
  9. Baada yahili mbasha nae atafyatua bomu lake,Nyie watu mwogopeni mungu hamtudanganyi ss mna jidanganya wenyewe mungu anawaona hii dunia tunapita tu.

    ReplyDelete
  10. Ukweli wanao wao Mbasha,Flora na Mungu wao sisi wasomaji na wasikilizaji msitoe hukumu kwa mtu pasipo jua ukweli,Mungu ndie ajuaye na hakuna siri chini ya jua,mara nyingi hukumu ni hapa hapa duniani na ukweli utajulikana.

    ReplyDelete
  11. Wakati wa kuzungumza haya ulikuwa kimya, wakati wanazungumzia mtoto yanakuja haya, kulikoni??
    Kama kweli ni kujisafisha, mbona hili nalo zito? (mtoto anafanana sijui na nani hilo ndo habari ya ukurasa wa mbele) litolee maelezo au DNA unaogopa?

    ReplyDelete
  12. JAMANI HUYO NI MWANAMKE NA ANAMACHUNGU YKE NA TUKUMBUKE SS NI BINADAMU TUNAPITA TU ..KWANINI TUNAHUKUMIANA,,,,,,,,

    ReplyDelete
  13. Ndo maana sasa hv nataka nitombe mlokole mmoja hapa kazini,maana hawa watu wanajua kuvumilia sana na kuficha siri na wanakuaga watamu sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. anza kummtomba mama yako mzazi maana kavulia sana upuuzi wa baba yako.

      Delete
  14. Frola unamuaibisha Mungu na walokole. ulokole haupo hivo. Ulokole ni utakatifu na mbinguni kuna watu watakatifu wataenda. nina wasiwasi na Frola,kwanza Mungu hashindwi kitu ktk maombi. pia ungeshirikisha wazee wangewaombea na kuwashauri. sasa leo unasema ulikuwa unavumilia ndo unadai talaka hata sikuelewi huyo msimamizi wa harusi yenu mlishindwa kumshirikisha. Leo Frola unaomba muachane kisheria ulipokuwa unaapa kanisani uliongopa? Kuna hatua nyingi za kuchukua kabla ya kuachana na waliofungisha ndo wanatakiwa waseme muachane.

    ReplyDelete
  15. Mi nashauri kuanzia leo Frola nyamaza kimya. Mungu atamaliza mwenyewe na mbasha nyamaza kimya. hamumfaidishi mtu bali MNAMUAIBISHA MUNGU! NA JINA LA BWANA LINATUKANWA SANA! INAUMA! MNAMSULUBISHA YESU MARA YA PILI! KWA NINI! MNAFIKIRI MUNGU ANAJISIKIAJE. huyu anasema hivi na mwingine vile hata ukweli haueleweki. Nasema hivi mwisho wa mchezo Mungu atawachapa fimbo yake mnaijua. kama nyie ndo wale walokole mnaojificha kanisani mbwa mwitu endeleeni na bifu hili. Frola msamehe Mume wako na ondoa kesi ile mahakamani,kisasi ni juu ya Bwana we MUOMBEE MUME WAKO NA MBASHA MUOMBEE MKE WAKO. FANYENI HIVYO KAMA MNAMPENDA MUNGU. ACHENI KUMTUKANA MUNGU HUMU. MUNGU AWABARIKI!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakushauri ukamwambie rais afute sheria ya makosa ya ubakaji na wabakaji woteeee waachiwe kesi zifutwe. Au unataka ya Mbasha tu aliyejuu ya sheria?

      Delete
  16. Matokeo ya kutokuwa watakatifu ndo hayo sasa! Mungu anawaaibisha. Frola kafute kesi hiyo mara moja sio ww ndo unaifuatilia uko nyuma ya hiyo kesi na kushinikiza. Mungu anawez kila kitu hata kisasi ni juu yake. Nashauri wote muachane na media haiwasaidii ndo kwanza mnaaibika. Frola unaibomoa nyumba kwa mikono yako mwenyewe hujui kuwa unatakiwa kuomba? au ndo umeharibu network zimekata. Mimi nina shida na Frola haujasimama vzr na Mungu ndo mana haya yanakupata. Rudi kwa Mungu.utashangaa Mungu atakavyofanya sio humu kwenye mtandao.

    ReplyDelete
  17. hizo zote ni blah blah zenu tafuteni mahali muyaongee kivyenu nawaona nyote ni waongo tu...
    tushawachoka....

    ReplyDelete
  18. Huyu mwanamke uongo umemzidi. Haiwezekani MTU aliyekwenye mateso au manyanyaso aliyoyaelezea apendeze anawili kiasi kile.a cha kujidhalilisha flolah

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulishi nao chumba kimoja mpaka useme muongo? mambo ya ndoa kuna mabaya zaidi ya hayo kua uyaone.

      Delete
  19. Mim nnahisi yawezekana kuna ukweli kwenye maelezo ya flora ila kwa kuwa ni maswala mazito sana ndo maana watu hawaamini,,,,nakumbuka kuna sentensi moja alisema HIVI
    Siku niliyoondoka nyumbani alidhamiria kuniua alidai hata akiniuà hakuna atakaye amini kuwa ni yeye kaniua, na ni kweli maana sikuwahi kushtaki mahala popote... VIVYO HIVYO WATU WASINGEAMINI KWELI......POLE FLORA ILA RUDI KWA MUNGU TUBU MUNGU ANASAMEHE PIA ATAKUFANYA MPYA.

    ReplyDelete
  20. tena atembelee migali ya kifahari ivi anayajua mateso kweli????? kwanza kuhusu mtoto mbona ajaongelea ????/

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtoto si wa baba yako

      Delete
    2. We fala acha walokole wajiachie kwenye blog YA udaku,,,ndo ulokole wenyewe ,,,na wenyewe wanapitaga humu kuangalia watoto wazuri nn,,,hahahahha Dunia hii tamu sana

      Delete
    3. ahahahahahah mtu anatukana alafu inafuatia KWA JINA LA YESU

      Delete
  21. loh kweli kwenye moto tutaingia wengi hayo maelezo ya flora yamejaa uongo mtupu eti anampiga na ubapa wa panga miaka yota hyo umekua taahira au umekosa ndugu useme hauna pa kukimbilia: sasa vp ulienda kukaa hoteli na ht sh kumi hukua nayo au umesahau
    eti mesej zna matuc unawezaje kumstiri mtu aliekuhenyesha eti hutak kuexpose ndo tukuone mstaarabu acha bla bla unajua unachokifanya ni cha hovyo na utadhalilika mana ndo malipo ya dhambi hayo

    ReplyDelete
  22. mnajua wanawake huwa ni wavumilivu sna anawakichoka wamechoka mbona jide kanyanyaswa na gadner we sasa kambwaga.
    hamuoni mfano tu

    ReplyDelete
  23. ndoa zinamambo mengisana sasa hatuwezi jua nani mkweli nani muongo,kila binadam anamapungufu yake

    ReplyDelete
  24. Story ndeeeeeeeeeefu lakini mbona hajagusia kuhusu huyo mtoto mchanga ni wa nani?

    ReplyDelete
  25. Mapepo yamewavagaaa.,yawatoke kwa jina la MUNGU funguka achia achia kwa jina la lenye uweza.,pepo la kusingizia mmeibiwa lk 3 na mzee kulola,pepo la uzinzi na ubakaji,pepo la ngono hd mtoto,naachilia mootooo,fireee uwatoke watumishi WA Mungu anamakusudi nao.,imeandikwa"huwezi kuiondoa Israel kwny Raman ya dunia"by power by force lazima kitaeleweka semeni Amina Flora na Imma ilimupone mcdharau huyo Ni BWANA....

    ReplyDelete
  26. Itajulikana baadaye. Kwani kaulizwa kuhusu kichanga au kuhusu yeye na mbasha

    ReplyDelete
  27. HAWA WATAPANAA WANAJICHAFUA TUU ...TUWAOMBEE NI KAWAIDA TUU EE MUNGU WAPE UELEWA WOTE WAWILI .....AMENI

    ReplyDelete
  28. wanaume wengi mbwaaaaaa nasema kwa jina la yesu ni mbwaa wanaroho mbaya mbasha hakua nakazi yyt kwa nini akatalie pesa alizokua akiingiza flolah...najua wanaume wengi hawana shukurani na hata ukimpa mkundu atakusumbua tuuu...mbasha na gadiner hawana tofauti lkn naona mbasha mbaya zaid frolah achana nae mpuuzi yule mungu atamwonyesha mana kazoea kufilana na haangalii km kuna ukimwi..anajifanya anaimba kumbe anamtumikia shetani na ninakushauri frolah km mwanamke mwenzangu kaa tulia mtumikie mungu daimaaa ktk maisha yako wanaume hawana mana kabisaa ktk maisha angalia wanao tu.mwanaume anakufilisi ambapo hakua na kazi yyt na wanaweke kueni makini sana unakuaje mpumbavu kiasi hichoo unadanganywaa pesa unatafta wewe halafu yy ndo anatunza jaman wanaweake amkeni mpo wapi mnalala maisha yamebadirika jaman mbona mnakua km hamjaoma hata kuona hamwoni jaman eeh dunia imebadirika acha kumwamini mtu na kumkabidhi ac yako mwanaume haangalii kesho itakuaje kazi yake kutumia tuu hujaniambia nikupatie milion zangu uweke wewe halafu iweje??????????????wanawake amkeni tunawaonea wanawake ambao hamjaelimika atafte na kila mtu awe na ac yake huwez kunizuia mimi kutunza pesa zg ambazo nahangaikia mwenyewe ambapo ww huna kazi yyt kkazi yako kuangalia mimi naingizaje pesa basi nitakugawia asilimia kadhaa na sio kukuabidhi pesa yangu ukatunze ww in your ac aisee polen sana kina dada ambao bado mnaibiwa na wanaume.jide kahangaikaa anaficha siri kaona hawezi akalala mbelee huku mali zt anatakiwa kugawana .janaume levii malaya linashika matako ya malaya mwanamke akiwa stagine aisee its too bad inauma saana ..mimi staki kumsikia mwanaume km unataka mapenz na mimi njoo na pesa zako tumalizane mambo ya kuja na njaa zako unataka kuponea kwg eti you love me forgrt aisee kwa mifano mingi usiwe mjinga..polen sana wanawake mnaodanganyika duniani hakuna upendo wa kwel upendo wa kweli ni kwa wazaz na wanao tuu zaid ni kwa mungu wanaume eto kakuoaa anakupenda hakuna kitu ndoa za dunian ni za kinafiki zote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeongea ukweel mtupi

      yamenikuta pia but kwa style yangu

      ANGALIZO OGOPA MWANAUME ULIYEMZIDI UWEZO..TUTAPONA

      HAWAPENDI WENGI NI MAPRETENDER.... NNA UHAKIKA MAPENZI YA KWELI YAPO BUT KWA MWANAUME ALIYEJUU YAKO TUTAFIKA....

      Delete
    2. Hakuna lolote huyo mama sio mjinga akae kwenye ndoa muda wa miaka yote kama hayo yote yalikua yakitendeka, sema yeye ame amingia mjini kapata bwana sasa anamuona mume hafai. Sasa togwa umelikoroga hawara kakutia mimba mtoto kamkataa umebaki unahaha kutaka muharibia jina mume wako, kama alikuwa mbaya hivyo kwanini ulivumilia miaka yote hiyo.

      Delete
    3. wanawake wengi nao mikundu

      Delete
  29. KWELI MUME WA MBASHA ALIKUWA NI MHUNI ALIYEBOBEA. HAFAI KABISA ANALAZIMISHA KUPEWA KINYUME NA MAUMBILE!!! DAH NI AIBU KUBWA MBELE YA JAMII.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNA HAKIKA GANI NA ANACHOSEMA FLORA??

      Delete
    2. ndio jicho tamu

      Delete
  30. Acheni kutoa comment kwenye profile ya anonymous wapuuzi nyie mnamatatizo gani

    ReplyDelete
  31. MMMM KAMA NI KWELI KAZI KWELI KWELI. ILA NAULIZA KUNA ULE NYIMBO YA KUHUSU NDIO ILIIMBAJE KAMA ULIKUWA KATIKA MATESO KAMA HAYO???

    ReplyDelete
  32. MIYE HIYO STORY IKO 50 50 YAANI 50 YA KWELI 50 YA UONGO. MBASHA HEBU JIBU ILI KUBALANCE STORY NI KWELI ULIKUWA UNATAKA NYUMA??????????

    ReplyDelete
  33. Hapa mama naona ameshindwa kutunga uongo ufanane na ukweli, hata mtu mjinga hawezi kuikubali hadithi hii ambayo inaonyesha haina sababu nyengine kuongelewa sasa zaidi ya kutaka huyu mama kujisafisha kutokana na kuona kuwa ametenda dhambi kubwa ya kupata mtoto ambae anashindwa kumtaja ni wa nani.

    ReplyDelete
  34. hiyo inaitwa aliekula kala bora bwana sasa si mchungaji aendelee kukupakua?bt anyway ni maisha nyie mnaujua ukweli .gad bless u all

    ReplyDelete
  35. Frola hebu muogope MUNGU. ACHA MAMBO YA KITOTO. huyo ni baba wa mtoto au watoto wako. hao wanaokujaza ili utoe siri zenu wana yao matatizo. HEBU TULIA NA KUMUOGOPA MUNGU.MAMA DUNIA TAMBARA BOVU. UTAKUJA JUTA BAADAE. HEBU NYAMAZA.

    ReplyDelete
  36. Flora si ulikuwa unaenda kulala na Gwajima mkitoa huduma huko Morogoro, unalala naye unarudi asubuhi hulali hoteli uliyachwa na mume wako. Umepelekwa London naye akakufuata mkawa mnakula bata. Mmemzulia mabo mumewako wa ndoa ili ukae na Gwajima aibu sana unasema mengine ya uongo na huyo baba yako mdogo katumwa amsafishe Gwajima ili aendelee kukulala wewe mnapokuwa katika huduma (Project) Baba yako asijitie kumsafisha huyo anayefungua zipu zake maana alisha mlala mtoto wa ndugu yangu akampa fedha tunamjua mlalaji wa wake za watu huyo. Unamsafisha mzee wa hammer anayelala watu hovyo halafu jumapili anaenda kuwawekea mikono watu Kanisani, aibu kwa macho yetu tumeona anataka amfunge Mbasha ili aendelee kumlea mtoto wao na waendelee kugegedana. Baba yako si anategemea apewe chenji na mzee wa hammer na kwa nini suala hilo msilipeleke mlipokuwa mnaabudu Mito ya mibaraka ili walisikilize wao na wazee wa Kanisani? Huyo babako anapenda uchafu unaoufanya hiyo imeuwa laana kutoka kwa babu yako mlivyomfanyia.

    ReplyDelete

Top Post Ad