Mama Wema Sepetu Afurahia Ujauzito wa Zari, Aombea Zari Azidi Kumganda Diamond..Kisa na Mkasa Huu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Udaku Special Blog: SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo.



Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo limemfurahisha kwani anaamini ndoto za Diamond kurudiana na binti yake zitakuwa zimeyeyuka rasmi kama alivyokuwa akimuomba Mungu siku zote.

Kuonesha kwamba amefurahishwa na kitendo hicho, alimtaka Zari aendelee kumpenda Diamond, amgande kila idara ili isije kutokea akarudi kwa binti yake ambaye walimwagana mwishoni mwa mwaka jana.

“Yaani kama inawezekana naomba sana huyo Zari azidi kumganda Diamond, asimpe muda wa kugeuka nyuma kabisa ili mambo mengine yaendelee kwa sababu uhusiano wa Diamond na mwanangu haukuwa na baraka zangu,” alisema mama Wema.
Mama Sepetu aliongeza kuwa, hana maana ya kumchagulia mchumba mwanaye bali anahitaji mwanaume yeyote mwenye heshima na anayehiheshimu kwa sababu mwanaume asiyejitambua hawezi kuwa baba bora wa familia.

“Sio kwamba namchagulia mtoto wangu mume gani amuoe lakini nahitaji mtu mwenye heshima na kujiheshimu mwenyewe ndio anaweza kuwa baba wa familia la sivyo inakuwa ni mambo ya kihunihuni tu kama ilivyokuwa kwa Diamond.”

Alipotafutwa Diamond kuhusiana na kauli hiyo ya mama Wema, simu yake iliita bila kupokelewa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram, staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo, alitupia picha ya Zari huku akizungushia duara tumboni na kuandika; ‘kileee kinaanza kumharibia mtu mavazi.’

~Stori: Imelda Mtema/Amani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH DIAMOND ANAAMINIWA MPAKA NA RAIS WA NCHI ANAALIKWA IKULU AMEITANGAZA VEMA NCHI YETU JAMANI BADO MTU ANASEMA ANA MAMBO YA KIHUNI??? YAPI HAYO? JAMANI TUWE WA KWELI MPENI HAKI YAKE DIAMOND. SIDHANI KAMA ANASITAHILI KUITWA MUHUNI!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo mamake Wema mwenyewe alikua muuza bar ndo akaokotwa na Sepetu ebu akae kimya Mbona mwanae ana pepo la ngono... mtu mzima embu jiheshimu

      Delete
    2. Sana anonymous.Loo maana huyu mama nadhani kila alipo anamuwaza Diamond.Amuache miaka 250.Mwanae ana pepo la ngono.Kanumba R.I.P, Chaz baba ,CK na mibaba mingine iliyokuwa ina mdinya Wema mpaka katepeta na kupauka kama Mariam Sepetu.Eti anajiita figa eit.Yaani mzee Sepetu R.I.P alikuwa na maisha magumu sana na yule muuza bar aliemrithisha mwanae tabia. Diamond aliona mbali.Wakati ule alikuwa akinengua kwenye show za Dai kama changu wa jolies.Halafu eti alitegemea kuolewa.Sandra akasema hapa haingii Sepetunga yoyote.Lol Nicheke mieeee

      Delete
  2. khaa jamani diamond mhuni??? vibaya hivyo mama!!!! je wema???

    ReplyDelete
  3. Hakika mama Wema swaga zako zinanichekesha! una maana Wema maskendo ndo wakupata mume bora? Labda ashuke leo na asiongee na mtu yeyote ndo amuoe sepenga!!!! Wema kidagaa kinamuozea mkononi bibie! ye ajiandae kuwa single mom kama shangazi Ezekia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahah Kidagaa kimeoza dadaaa. Alienda Ghana kujaribu bahati kwa Van Vicker.Akatolewa mkuku karudi kimya kimya.Hahaha Kapaukaaa. Na kweli kama kizazi bado kipo asubiri kuwa singo mom.Maana kimeshapigwa mande mno.Nasikia yule jamaa wa bank alimpa 3000 USD baada ya kumla tigo.

      Delete
  4. Mmmh Mama!
    Si useme tu Dai hela yake ni ngumu kutumika?
    Au kwa maneno mengine Dai ni bahili sana?

    ReplyDelete
  5. Na mwanao Wema unaona anafaa kuwa mke wa mtu mstaarabu kweli?

    ReplyDelete
  6. Dah!! hivi mama wema mwanao ni msafi kiasi gani???

    ReplyDelete
  7. wewe sema sema humkubali tu diamond kuwa mkwe wako lakini maswala ya kusema mhuni umechemsha mama !!! pole sana.

    ReplyDelete
  8. Maneno ya mkosaji hayo mwanao kachezewa halafu katemwa

    ReplyDelete
  9. Mama Wema anamtaka na kumuota CK kwani alikuwa kimwanga na g
    ndoto zake CK atarudi kwa Wema.
    Ndio maana alimtukana Kajala hadharani kisa CK. Namshauri huyo mume bora kwa Wema akamnunue supermarket hakuna familia yenye maadili itakubali asilani

    ReplyDelete
  10. Huyu mama si mzima,yeye mwanawe anavyobadili wanaume km chupi kila siku anamuna katulia? Tamaa mbelee ndo kazi yake,kwa style hiyo atakufa na utamu wake,ataendelea kuuza uchi mpaka uchi uzeeke na magzi yamninginie maana sifa ya kuwa wife material hana.....wacha ushamba wa kumtia tia midomoni mwana wa mwenzio wakati mama Diamond haongelei kuhus mwanao kaka kimyaa anakuupuza km ushuzi wa benini...

    ReplyDelete
  11. WEWE MAMA WEMA SIKIA MIMI NI TU MZIMA NA NI MZAZI KAMA WEWE NA NINAKUFAHAMU VIZURI ZAIDI YA HUYO WEMA MWANAO, KUMBUKA DUNIA HII YA LEO HUWEZI MCHAGULIA MTU MCHUMBA AU BWANA WALA HUYO MWANAO WEMA KWA HILO HAWEZI AKAKUSIKIA NAONA UMETELEZA ! HIVI WEWE UNAFIKIRI HUYO ANA UCHI GANI ZAIDI YA WASICHANA AU WANAWAKE WENGINE HAPA DAR? HUYO MWANAO NI MALAYA KAMA ULIVYOKUWA WEWE UJANANI MBONA HAKUINGILIWA NA MTU MZEE SEPETU KUSHAURIWA KUHUSU WEWE NA NI MWANAUME GANI AMBYE HUKULALA NAE WEWE KATIKA UJANA WAKO? ACHA USHAMBA HUO NA MTOTO WAKO WEWE SUBIRI ATACHINA KAMA SAMAKI WA ZIWA TANGANYIKA WALIOKOSA MNUNUZI MPAKA JUA LINATUA ,HALAFU ANAKUWA CHAKULA CHA PAKA. TULIZANA MAMA,,,, MBONA MWANAMKE MWENZAKO MAMA DIAMOND HAJASEMA KITU KWANI YEYE UNAFIKIRI ALIKUWA HANA UCHUNGU NA MTOTO WAKE NASSIBU KUTEMBEA NA HUYO MALAYA MTOTO WAKO AMBAYE ANA SIFA KAMA MUSEUM YA WANAUME? KWANI KILA MWANAUME KISHA LIONA TUNDU LAKE LA MBELE MPAKA NYUMA! SASA UNAFIKIRI HUYO MWANAUME UNAEMTAKA WEWE WA KUISHI NA MTOTO WAKO , NA WEMA ASIMPENDE ITAKUWAJE UTAMLAZIMISHA WEMA AMPENDETU HIVYO HIVYO KWA SABABU NI MTU MWENYE BUSARA ?

    HATOMPATA KAMWE MUNGU NDIO ANAMPANGIA KILA MTU WAKE AU WEWE ULUKIWA UKIMTAKA DIAMOND HAKUKUTAKA KWA SABABU UMEZEEEKA NA DOMO LAKO KUBWA KAMA CHOO CHA KISWAHILI MWANANYAMALA.-------...,,,,----

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umemaliza yote mdau huyu Mama hajieshimu hata kidogo ndomana aliwekwa picha ya uchi instangram. Hivi kwanini hawi kama wamama wenzake yekaweka tamaa mbele kumuuza mwanae kwa wenye pesa haijalishi mume wa mtu au laa; familia nzima wamechanganyikiwa Ck alivomuacha hasa Nuru kisa alikua anamgaia na yeye pesa shame on you Nuru na mamako muuza bar na joka la kibisa michirizi.

      Delete
  12. achen matus wema na diamond tuchukulie kama masister duu na mabrother man wakityaa tabia nihizohizo kuachana kuchukua mwingine maisha yanaenda so tuache asira sana haijengi nisawa na kilaza kujadil bunge wakat hawez kuchukua maamuz yeyote zaid yakumia unaonekana boya kuropokaaaaaaa

    ReplyDelete
  13. Dah pole mama wema umeyataka mwenyewe!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Jamani hizo comments zinatoka kwenye vinywa vya binadamu au ni nguvu za ibilisi, ndivyo mlivyolelewa kulipa baya kwa baya? hakika haipendezi mbele za Mungu

    ReplyDelete

Top Post Ad