google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mungu ni Mkubwa: Mama yake Diamond Arejeshwa toka India......Afya yake kwa sasa inatia Moyo | UDAKU SPECIAL

Mungu ni Mkubwa: Mama yake Diamond Arejeshwa toka India......Afya yake kwa sasa inatia Moyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mungu ni  mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa.
Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kimesema kwamba tayari
 Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.

Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini wikiendi iliyopita baada ya kufanyiwa matibabu ya kina na madaktari kujiridhisha kwa hali ya juu dhidi ya afya yake ambapo waligundua hali aliyonayo kwa sasa imetengemaa hivyo wakamruhusu kurejea kuungana na familia yake.

Habari zilieleza kuwa kwa sasa bimkubwa huyo yupo fiti na anaendelea na mazoezi ya kawaida huku akimalizia dawa alizopewa na wataalam hao wa afya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo tu ndo nampendaga chibu...yuko poa sana na mama yake.wengine wanafanikiwa lakini mama zao wanalala njaa..wao wanaponda raha..chibu uko juu..barikiwa sana

    ReplyDelete
  2. Hapo tu ndo nampendaga chibu...yuko poa sana na mama yake.wengine wanafanikiwa lakini mama zao wanalala njaa..wao wanaponda raha..chibu uko juu..barikiwa sana

    ReplyDelete
  3. ANGEFIA HUKOHUKO MAMA ANAROHO MBAYA KAMA NINI ANDIO MAANA HANENEPI MWLI KAMA SENENE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Timuubaya hacheni ungese mama amekukosea nini wakati zumbukuku lenu ubaya linajiuza kwa kila mtu,yaani ni juzi tuu nami nimelidadavua!

      Delete
    2. kwani uomgo diamond karith umalaya kwa mama yake mara waarabu, mara baba diamond na serengeti boy kwasasaid shida tuuuu

      Delete
    3. KHAA JAMANI KAKUKOSEA NINI MGONJWA MBONA WEMA ALIMWACHA MWENYEWE DIAMONDI. MUULIZE WEMA ILI BMW ALIPEWA NA NANI?

      Delete
  4. Kaka unamaanisha juma namusoma au?

    ReplyDelete
  5. KAMA UMENISOMA NAPENDA SANA VIJANA WANAOJALI MAMA ZAO!! WEWE D NI MFANO WA KUIGWA

    ReplyDelete
  6. sanura we hongera kwa kulea mtoto

    ReplyDelete
  7. Kuna mdau hapo juu kaandika kuwa mama diamond angefia huko wewe una mama kweli au nyiye ndiye wale watu mlizaliwa na kutupwa barabarani ambaye ujui umuhimu wa kuwa na mama unaweza kuandika kitu kama hichi kuwa angekufa are you god shindwa na ulengee siku nyingine unapoandika upupu kama ulioandika fikiria kabla au kulikuwa umekunywa gongo au sembe manake mtu wakawaida hawezi kuandika stupid things like this wewe ni mjinga wa mwisho shenzi mkubwa koroga sumu unywa ufe wewe usiombee mama watu eti angekufa utasubiri sana.diamond juu juu zaidi?????

    ReplyDelete
    Replies
    1. haha kuna watu wamechacha midomo duuuu

      Delete
  8. wewe unaye mtukana mama wa Diamond unauwakika gani kama huyo baba yako ndio baba yako mzazi? kama mama yako na wewe alichepuka je? na mama wa watu amekukosea nini wewe si mwenyezi mungu utakufa wewe mama wa watu utamwacha hapa hapa mwana hizaya we.mdau uliyechengia kwa kweli naungana na wewe name nina wasiwasi huyo ni wale waliozaliwa na kutupwa majahani mwanadamu mwenyebusara uwezi kutamka maneno ya ajabu kama hayo.huyo hajawahi pata mapenzi ya mama ktk maisha yake yote analaana ya asili.na dua zao mbaya kwa Diamond ndio mafanikio yake mwenyezi mungu atamsimamia kiumbe wake kwani hali cha mtu anatafuta kwa jasho lake mwenyewe

    ReplyDelete
  9. Diamond karithi umalaya kwa mama yake wewe umerithi nini kwa mama yako?mpumbavu mkubwa wewe hivi hata kama unamchukia mtu mzazi wake anahusika nini mpaka ukamtusi kiasi hicho.embu chukulia wewe ndio mzazi wako angetusiwa kiasi hicho ungejifeel vipi? laaana khum wewe Malaya wewe na ukoo wako wote

    ReplyDelete
  10. kuna watu wana mambo duu yote hiyo sababu ya diamond inabidi tumjudge diamond kama diamond mama yake aachwe.

    ReplyDelete

Top Post Ad