Picha za Ngono za Nay wa Mitego zilizosambaa Mitandaoni Zamtoa Machozi Mchumba Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog
Siku tatu zilizopita picha ambazo anaonekana mwimbaji Nay wa Mitego akiwa na msichana kitandani huku wakiwa nusu utupa wakifanya yao zilisambaa mitandaoni na kuzua sintofahamu kwa mashabiki wake ..
Habari zilizotufikia zinasema mchumba wa Nay anayejulikana kama Siwema nae aliziona picha hizo na kuzua timbwili kubwa mpaka akaondoka nyumbani kwa Nay Usiku wa manane huku akimwachia Nay Mtoto Mchanga...Nay kesho yake ilibidi atumie juhudi kubwa kumweleza mchumba wake mpaka akaelewa kuhusu hizo picha, inasemekana kwa sasa wako vizuri na wanaendelea na maisha baada ya Siwema kuingizwa KING...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo ni mchumba wake siwema, watu wazushi nyie kama majini makata!

    ReplyDelete
  2. huyo ni mchumba wake siwema, watu wazushi nyie kama majini makata!

    ReplyDelete

Top Post Ad