Picha: Baada ya Wolper kuzingua, Manaiki Arusha Ndoano kwa Uwoya?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya ishu yake yakutaka kumposa Wolper kugonga mwamba  hii ni kwa mujibu wa magazeti ya udaku hapa bongo, mwigizaji machachali Manaiki Sanga ‘The Don’ usiku wa jana......



 alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.

Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana project mpya ya kutengeneza filamu ambayo itawashirikisha mastaa zaidi ya 30 wa hapa bongo, na hivyo basi Uwoya anaweza kuwa ni moja kati ya mastaa amabo watashiriki.

Tuendelee kusubiri, muda utaongea!!!.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ila kunguru hafugiki iwapo Irene atafanikiwa kumfuga kunguru asimtoroke tutamzawadia medali ya Dhahabu

    ReplyDelete
  2. Project! Kama kuoa c lazima aoe wasanii wenzake!

    ReplyDelete
  3. Jamaa ana msururu wa mademu yaani hadi raha!

    ReplyDelete

Top Post Ad