Picha Mbali Mbali za Msichana Mwenye Umbo Matata Anayesemekana Kateuliwa Kuwa Mkuu wa Wilaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Siku Nzima Msichana huyu anayejulikana kama Nice Chande ama @mwakalicious24 amepaishwa sana kwenye mitandao ikisemekana kuwa Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya ...Watu wengi waliguswa hasa kutokana na umbo lake matata ....Bado hatujapata ukweli wa jambo hili lakini haraka haraka nimeangalia majina ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona jina lake labda awe anatumia jina jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa Chini:






-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama kweli kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya basi uteuzi utenguliwe kwani hana maadili hivyo hana sifa ya kuwa mwakilishi wa rais.

    ReplyDelete
  2. Tuambie ni wilaya ipi ili tuulize

    ReplyDelete
  3. Huyu Nice alikuwa demu wa Profesa Jay alimtoa Dodoma alipoenda Tour miaka ya 2003 - 2005 alikuwa mshamba kusema ukweli hata simu ya kwanza ya camera alinunuliwa na Profesa Jay alipoingia mjini/ alipozoea Jiji akamtoroka. Akaenda Bongo Movie. Ni kweli mzuri sana tena sana hata mimi ni mwanamke lakini namsifia mwanamke mwenzangu ila hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maisha ndo yalimfanya awe hivo lakini akipewa anaweza mama yangu, Hakuna binadamu asiye weza hapa ardhini na uongozi ni taasisi na siyo mtu

      Delete
    2. Huyu ndio aliimbiwa kua katolewa sitimbi?

      Delete
  4. atajirekebisha mwacheni

    ReplyDelete

Top Post Ad