Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba Kitandani zilipigwa Usiku wa Manane.....Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.



Ommy akizungumza katika  kipindi  cha  Uheard na Soudy Brown amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.


Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinum.

Hata  hivyo, Aunty Ezekiel ambaye ni rafiki wa Wema amesema kuwa rafiki yake huyo alikwenda nchini Afrika Kusini kufanya video mpya ya ngoma ya Ommy.


Wiki  hii pia  picha nyingine zilisambaa Wema akiwa na aliyekuwa mume wa Zari wakiponda raha nchini humo na kuzua sintofahamu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbavu sana,so kama ulikuwa umelala what's different?si mlikuwa mnavunja amri,kama ni project ya attetion basi mmeipata mabedui wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  2. HA HA HA HA ANACHEKESHA SANA

    ReplyDelete
  3. wambea nyie muacheni Wema!

    ReplyDelete
  4. wanzinzi tu wote hao

    ReplyDelete

Top Post Ad