T.I.D Auponda Vibaya Wimbo Mpya Wa Ali kiba CHEKECHA CHEKETUA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Haya ndiyo maoni ya mwanamuziki TID kuhusu wimbo mpya ya Ali Kiba ya chekecha chekatua kuwa hii nyimbo haina ubora wowote na hadhani kama itadumu hata miezi 3 sokoni.
Ameandika Hivi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
This song is not all That..But u guys are making it a big shi**t, its gonna last 3 months #nose Singing

What is your take on this ?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnyama umeishiwa wewe kubali japo kiaina jamaa anajua

    ReplyDelete
  2. pipo n fans wa kiba will diss u but that is fact!! am solee kiba didnt expect that at all ur king of dar es salam na hii kazi haviendani kabisa am very disappoint

    ReplyDelete
  3. Jamaa ana vocal då Pekeee hata twanga pepeta anaweza kuimba bila shidaa

    ReplyDelete
  4. I love the song

    ReplyDelete
  5. wimbo mbovu kaka!

    ReplyDelete
  6. ameishiwa, hizo ni nguvu za soda more than mr nice

    ReplyDelete
  7. Nyimbo mbovu hata kuisikiliza naona Uchovu, Haina mvuto kwa mashabiki,

    ReplyDelete
  8. Hawa watu sasa wanunue nyimbo, wasijilazimishe kutunga, hawana jipya tena.

    ReplyDelete
  9. we teja mnyama usiyejitambua kafie mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad