Wema Sepetu Nae Ajibu Mapigo Kwa Zari, Kama ulikuwa Hujui Basi Nayeye ni Mjamzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti  huku wote sura zao zikiwa hazionekani....

Moja kati ya akaunti  kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la  WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.

Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za  Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.

Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia  na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...

Muda utazungumza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. heee WEMA mbona kazi unayo!!!!

    ReplyDelete
  2. Kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  3. kazi ya nn anayo?, nyie hamna kazi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. anahangaika sana mwenzio !! atuambie na yeye ana mimba?

      Delete
  4. Atamani apate lakini hapati

    ReplyDelete
  5. Mmmh! kweli haina makombo...Wema kazi unayo dada

    ReplyDelete
  6. Wema kachanganyikiwa anataka kua kama zari,kweli kimemuuma sana,kwaushauri wangu nibora akae kimya kuliko kutapatapa.

    ReplyDelete
  7. Anatapatapa nini? Kwani mliambiwa ni tasa? Au nyie ni Mungu mnampanga mtu wa kumpa mtoto na mtu wa kumnyima? Hapo watu wameshika tu tumbo wala hajasema kama ana mimba au la mnatokwa na maneno je akiwa na mimba kweli si mtakufa kwa kihoro? Kwanza mliambiwa huyo Zari ndio mwanamke wa kwanza kuzaa hapa duniani? Mwanamke keshazaa watoto 4 huyo wa kwanza ana miaka 22, kupata mimba ya uzeeni basi kawa kama taahira. Na wanawake wenye umri mkubwa kama wake wanashauriwa kupima kwa sababu ni rahisi sana kupata mtoto mwenye down syndrome. Bisheni, tukanani kataeni lakini ukweli ndio huo kuzaa after 40s ni kutafuta matatizo tu. Waulizeni hata madaktari

    ReplyDelete
    Replies
    1. We anonymous 8:24 acha nyege mshindo. Kwani umri mkubwa tu ndio kigezo cha kuzaa taahira? Ina maana mama ake wema alimzaa wema akiwa na umri mkubwa?? Mbona na yy kazaa taahira mashuhuri? Taka usitake Zari despite her age ana mimba. Wema atabaki kuhama vitanda tu na pampucha yake iliyo noki engine. Kajambe kuleeeee changu wa jolies wee mfyuuuu

      Delete
  8. mnajitoa fahamu mimba si zao jamani kah!!!

    ReplyDelete
  9. ANAONY 8.24 HUJUI USEMALO. ZARI HANA 40 YRS LABDA KAMA HUJAENDA SHULE HUJUI HESABU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. SHULE KAENDA SAANA TU WIVU UNAMSUMBUA!!!!

      Delete
  10. UNAJUA KATIKA MAISHA WAWEZA KUWA NA MIAKA 20 UKAONEKANA MZEE NA MWENYE MIAKA 40 AKAONEKANA YANKI, SO UMRI SIO TATIZO. SAMAHANI NITATUMIA MFANO WA MENGI.........

    ReplyDelete

Top Post Ad