Wema Sepetu Amtusi Shemeji wa Zari King Lawrence Kwa Kuvujisha Picha Akiwa na Mume wa Zamani wa Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema , Ivan and King Lawrenc

Udaku Special Blog
Wema Sepetu Amemtusi King Lawrenc ambaye ni rafiki wa Mume wa Zamani wa Zari the Lady Boss Ivan Baada ya Kuvujisha Picha wakiwa wote Club wakila Maraha , Wema Sepetu akiongea na Gazeti moja maarufu Amesema haya :

“Yule ni...(tusi) ameniboa kweli...(tusi) unajua vitu vingine vya kipuuzi kabisa, wanatafuta kiki zisizokuwa za msingi wa...(tusi)” alisema Wema.Wema alisisitiza kuwa hataki kumzungumzia sana King kwani anaamini akifanya hivyo atamuongezea umaarufu ambao amekuwa akiutafuta muda mrefu.

King Lawrence amekuwa akimtusi Diamond mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii huku akionesha jeuri ya fedha kwa kile kinachoonekana kuumia kwake roho kwa kijana wa Tandale kumchukua shemeji yake Zari, aliyezaa na Ivan watoto watatu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado ulikuwa unawasogelea wa nini? Tatizo lako kichwa majiiiiii!!!

    ReplyDelete
  2. Hahha mimi nasubiri video ya ngono wakati Ivan na King Lawrence wanapokezana kum bokoa Sepetunga. Kuna muuza ubuyu anadai ipo. Wema njaa yako itakufikisha pabayaa. Uliwezaje kuwavulia chupi wote 2 at one go?? Imekula kwako sasa. King Lawrence ana matusi mama Wema (figa eit) haoni ndani.Lianzishe azidi kumwaga nyeti hahahahaha

    ReplyDelete
  3. Ahaaaaaaaaaaa yoooooooooooo maweeeeeee eti mama wema figa 8 aoni ndani, wataona ndani mdau c watashirikiana mama na mtoto kutoa matuc.

    ReplyDelete
  4. Jamani me ninapesa inaniwasha nitampataje wem a ili na me nipampuche kidogo.

    ReplyDelete
  5. Ukome njaa zitakuthalilisha sana bi michirizi hayo yote uliyajua sasa uliwafatia nini ur such a idiot

    ReplyDelete
  6. Wema nae kashakua malaya kila mtu tupe basi na sisi uku sA

    ReplyDelete

Top Post Ad