Siwema Amjibu Nay Wa Mitego..Asimulia Yote ..Asema Hata Mtoto sio wa Nay ni wa Obasanjo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siwema na Mpenzi wake Nay wa Mitego
Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakushtusha.....

Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:

"Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko hivi:@nay,naomba usisahau kama niwewe uliniambia nitafute boyfrnd..tena ulintukania hd mamang marehem,nilikushukuru tu..nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..mamaako.mzazi anajua,dadaako tina anajua...unasema umenifumania,jaribu kumuogopa mungu,we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta mi nasex kitandani..dahh ,ongea ukweli..nay mimi ndio nilikua nakupenda,hukuwah onyesha mapenzi hata siku1 kwangu,nilikua natetea penzi letu sanaaa..mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo ,wallah nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila kitu nikaamua kua nawewe,sikuwah kuijua shida..naezasema ulinisamehe kinafiki caus tangia hapo hadi najifungua sikua na raha..huu sio mwili wangu mimi,kila siku mamaako alikua analia na mimi ,okey haijalishi umenifumania au nini caus tayari ulishanitamkia umenchoka nay..namimi sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa mdogo..nmebeba mimba miez9,nmezaa kwa uchungu..niwewe ndo ulisababisha mimi nisimnyonyeshe mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwasababu ya stress..leo unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari nimali yangu,where's ma lexus,verrosa?kweli hujawah kunipiga lakin ulikua unaninyanyasa .mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu,wewe huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka kimziki akati mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani?vingap umenfanyia?siwez ongea kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana tu.mamaako shahidi wangu!!...unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe unawatoto,nikwel unao,wengi tu nawajua sio hawa watatu unaowasema..waseme wooote..

Sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako ,babake ni obasanjo.yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nnamengi tu,naumia sana sanaa!! ,pls nisiulizwe kitu tena wapenzi,nawapenda n thanx"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usiongee utumbo kama alikua ana matatizo ungeondoka tu lakini siyo ucheat, mtoto wake as far as amezaliwa akiwa na wewe, wewe una uhakika gani babaako ni babaako usitake kumpa stress. sasa kaa na kisengereti wako tamaa itakushinda.

    ReplyDelete
  2. DUH....
    NDIO MKOMEGE KUIVAMIA VYA WATU,KWAIYO WE NAY ULIMCHOMOA MWENZIO KWA BABA MTOTO WAKE..HAYA ONA ANAVYOKUZALILISHA.
    YOU HAAAAAAD.....

    ReplyDelete
  3. Huyu demu ni kweli aisee saa nane za ucku unamwona jb hotel mwanza,tunajiuliza mtoto kamwacha na nani,nay was right kabisa kumchukua mtoto

    ReplyDelete
  4. MWACHENI DADA ATOE MACHUNGU YAKE.

    ReplyDelete
  5. SIWEMA POLE MUMMY WANAUME NI WATU WA AJABU..ATA CKULAUMU WA TUSI SITOI..POULEEEEEEE

    ReplyDelete
  6. MIMI MPITA NJIA NLIWAHI KUSEMA NEY HAWEZI KUOWA NAIJUA VIZURI HIYO GROUP YAO. NILIKWAMBIA SIWEMA KULA ALAFU TAMBAA ZAKO KAMA PESA ZINALIKA.PILI NLISEMA HIYO MIMBA SIYO YA NEY LAKINI MTOTO KAFANANANAY. SO MTOTO WA NEY . SASA LEO MNASEMA NINI . NYIE WOTE NI WALEWALE TU. NGOJA NIENDEZANGU KWA MANGI NIKANYWE MBEGE. FYXUUU

    ReplyDelete
  7. Au kaulizie kwa Obasanjo. Baba Curtis.

    ReplyDelete
  8. Siwema anasema ukweli, kavumilia mengi na hana roho ya chuma, au ulitaka afe kwa stess, na ukweli wa mtoto anaujua mama.

    ReplyDelete
  9. ukiona hivi...mwanaume ameshndwa ku~handle familia yake kama mwanaume....

    ReplyDelete
  10. Ukweli wa mambo anaujua Nay wa Mitego. Kama suala la mtoto ni wake ama ni wa kusingiziwa hilo jibu haliwezi kutoka kinywani hata mara moja. Ni DNA test pekee ndio itatoa jibu sahihi la mtoto ni wa nani. Kwa ujumla wanawake wanaweza kuwa stress kubwa katika Ndoa. Kwa jinsi huyu mwanamke anavyojieleza na pia anavyojaribu ku justify hayo ma upuuzi yake ni ukweli usio na ukinzani kuwa huyo mwanamke ni stress tupu. Na Nay wa Mitego amemvumilia mpaka imefikia hatua ameamua kuachia ngazi. Sasa kwa sababu mpango mzima uliopo sasa hivi ni issue ya mtoto basi kitu cha msingi ni kwenda hospital na kupata vipimo vya DNA ili pale itakapodhibitika kisayansi kuwa mtoto ni wa Nay wa Mitego basi amchukue huyo mtoto wake ili amkamlee vizuri na kwa dhati na aachane mara moja na hizo drama za huyo mwanamke anayefikiria kila mwanaume yuko kwake kuvumilia hayo maupuuzi yake. Hongera sana Nay wa Mitego kwa kufanya maamuzi ya Busara.

    ReplyDelete
  11. Mi naona wote wapuuzi tu kama walivyo wapuuzi wengine tu!

    ReplyDelete
  12. hahaha ney matako miraba yako peleka kwa kina jonsina mke anataka kupetiwaa sio kupelekeshwaa waachie kina yusca wadogo zetu wanajua kuleaa hahaha siwema achana na hiyo stress usije kufa ukiwa mdogoo mpenz aende zake ney na sura lake km nyanumi..mpe mtoto yusca ale vitu laini

    ReplyDelete
  13. NEY NDO UKOME KUZALISHA WANAWAKE NA KUWAACHA OA UISHI MAISHA YA AMANI ACHANA NA KUHARIBU WATOTO WA WAWATU WAKAOLEWA NA NANI UKIWAACHA?????????

    ReplyDelete

Top Post Ad