Baada ya Kujifungua nje ya Ndoa, Mashabiki Wamvaa Zamaradi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mtangazaji maarufu nchini, zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa mwingine ,mashabiki wake wamemjia juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa kwa mtoto wa kiislam kama yeye, kwani kinaonyesha kuwa hakulelewa kwenye maadili mazuri kama dini yake inavyotaka.

Mashabiki hao wamelaani kitendo cha mtangazaji huyo kuendelea kuzaa bila kufunga ndoa, kitendo ambacho watu wamekitafsiri kama uzinifu na uhuni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU MKOSOAJI MKUBWA WA MOVIES ZA WENZIE INAKUAJE NAYE ANAZAA TU BILA NDOA?? NAONA NI MAMBO YA DINI HAPO KAZI !! MAMA BADILI DINI UOLEWE RUGE NI MKRISTO NA WEWE MWISLAMU. BADILI DINI KAMA FROLA ALIVYOMFUATA H BABA WAKO POUWA SANA MAISHA RAHA MSITAREHE NOO KUZINI WAMEHALALISHWA.

    ReplyDelete
  2. mmeksa cha kuonge fala nyie, sasa mwoeni basi awazalie,

    ReplyDelete
  3. Hawa washabiki ni mapumbavu,, kwani ni asilimia ngapi Tanzania ya wanawake waliozaa nje ya ndoa? wakiwemo waislamu na wakristo? haya mawazo wa washabiki ni ya kijinga wasiyo na mpanga hasa kwa Afrika kulingana na maisha tunayoishi.

    ReplyDelete
  4. MWANAMKE ANAEJIHESHIMU ANAKOSEA MARA MOJA YEYE AMEZIDISHA NI MUHUNI HUYO DADA NA ANAONESHA JAMII KWAMBA ANAFANYA NGONO

    ReplyDelete
  5. KWANI MPAKA ABADILI MWANAMKE, KWANI MWANMUME AWEZI BADILI, KILA MMJA ANAWEZA BADILI KWA MAPENZI YAKE MWENYEWE, SIO MPKA KILA KITU MWANAMKE, MFUMO DUME KILA MAHALI, KAMA HUYO BWANA MKRISTO NA ANAMPENDA MPENZI WAKE SI ABADILI YEYE, MUNGU NI YULE YULE, ALAYEZIUMBA MBINGU NA NCHI, MATENDO YAKO TU,

    ReplyDelete
  6. Muacheni afanye Ngona Kuma yake haliipi kodi haowalio kwenye ndoa wana taka kutoka bora yeye kapata wa kumpa watoto wake na stress free,zaa mama hata kumi mradi uwalee wa nzinzi wangapi na mimba wanatoa,,,,,,,hamna ya kufanya kujadili maisha ya watu Mabweha nyie.

    ReplyDelete
  7. SASA WANASUBIRI NINI KUFUNGA NDOA???

    ReplyDelete
  8. USIPOANGALIA UTAZALISHWA WA TATU NA KUACHWA HAPO MWENZIO ANAENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE!!!!

    ReplyDelete
  9. another genuine reason why i dont listern and watch Clouds mediaZ

    ReplyDelete
  10. Jamani kila mtu anauhuru wa kuishi maisha yake. Mbona mnawanyanyasa wanawake. Na huyo alozaa naye hamuongei. Anauwezo wa kuwalea basi mwacheni azae na kabla hyjamwita mwenzio muhuni tazama nafsi yako

    ReplyDelete

Top Post Ad