Baada ya Kuzimia na Kuzinduka Gwajima sasa Atakiwa Kwenda Kujieleza Kwa Mkuu wa Wiliya ya Kinondoni Paul Makonda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Jana Askofu Gwajima kuzimia wakati akijojiwa na Polisi kuhusu kumtukana Hadharani Askofu Pengo , Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda naye amemtaka Askofu Gwajima kufika ofisini kwake Jumatatu Kujieleza kwanini alitoa Maneno hayo machafu kwa Askofu mwenzake ....

"Hatuamini kama kweli imefikia wakati sasa nyumba za ibada zinatumika kama sehemu za kupashana badala ya kuhuburi injili ili watu waokoke"..alisema Paul Makonda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Makonda mbona anaingilia kazi za Police?
    Mtuhumiwa aje office kwako umuhoji, lol. Kazi za kupeana ndio hivyo watu wanakurupuka tuu

    ReplyDelete
  2. ha ha ha hii habari na comments..mie mbavu sina.....oohh

    ReplyDelete
  3. Hana lolote huyo mäkonda shushu wa chukua chako mapema

    ReplyDelete
  4. None your bizness makonda,umepewa ukuu wa wilaya tu unaanza kujifanya polisi kwa kila kitu,waachie polisi wafanye kazi zao,wilaya ya kinondoni ina mambo mengi ya kushughulikia,inaoneka hicho cheo hukutegemea.

    ReplyDelete
  5. cheo kimekuchanganya makonda mpaka unaingilia mambo ambayo haya kuhusu la warioba lilikushinda haya ya wengine utayaweza

    ReplyDelete
  6. makonda paul, udc wako suti kubwa,mabega madogo hayo, rungu ulopewa unataka kupigia hata mavi wewe, acha vyombo husika vifanye kazi yake

    ReplyDelete
  7. mkuu wa wilaya! umhoji gwajima kivipi! umekurupuka kama braza k wa futuhi,waachie polisi kaz yao

    ReplyDelete
  8. Makonda fanya yako tena kwa,bidii! Huyu Gwagima,hakuhusu kabisa ndio maana Kakobe alikupa za uso kabisaaa fanya yako na ya ngoswe mwachie ngoswe

    ReplyDelete
  9. HEE MAKUBWA HAYA!!!

    ReplyDelete
  10. HEEE AMEKUWA HAKIMU??

    ReplyDelete
  11. mh kwa namna hii nadhan mkuu wa moa nae anatakiwa amuhoji, diwan wake amuhoji, balozi amuhoji mtendaji naye amuhoji yaan mpaka meya anatakiwa amuite osifini kwake ikiwa tu ataenda kwa mkuu wa wilaya kuhojiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad