Diamond Platnumz Aamua Kuonyesha Mjengo Wake Ulipofikia Baada ya Watu Kumsimanga Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Baada ya Watu Kuchonga Kuhusu Nyumba ya Diamond kuwa amesimama kujenga huku wengine wakisema amezidiwa na Jux , Diamond Ameamua Kuonyesha Mjengo wake ......


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mjenga wa walio enda shule hatari msela

    ReplyDelete
  2. kawaida sana...acha uwoga dogo

    ReplyDelete
  3. Aloenda shule nani? Chibu hahaaaa, kama si kuwa na pesa angebaki tandale kwa mtogole.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ulieenda shule uko wapi?

      Delete
  4. Wabongo punguuzeni jelous za kisenge lol ndio maana mafanikio yanakuwa magumu kwetu

    ReplyDelete
  5. Mjengo umetulia

    ReplyDelete
  6. mbona ni wakawaida tuu, au hivyo vituvya china ndo vinakushangaza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaaa wabongo bwana eti wakawaida Sana hata Kama vitu vya china kajitahidi looh!

      Delete
    2. Baba yako anao?

      Delete
  7. Wano bef nae wamenuna hahaaaaa wamefulia

    ReplyDelete
  8. ww ulosema wa kawaida onesha wako basi ulokuwa mkali...jealous tu.

    ReplyDelete
  9. Weka na wewe yakwako uloenda shule hata km katoka tandale ndo matunda yake kachuma

    ReplyDelete
  10. Ya kawaida sana.

    Ila hongera zake...aachane na baba mwenye nyumba

    ReplyDelete
  11. Kama ni mimi nataka kuonyesha mjengo wangu, naonyesha kwa uhakika kama alivyofanya Nay wa Mitego kaonyesha wazi na kwa uhakika kwamba hizi ndio mali zangu. Lakini kwa upande wa Jux na Diamond nina mashaka nao,, wenye mali hawapozi au kukopi na kupaste picha kwenye mitandao na kujifanya hizi ndio mali zao,, lakini kwa wale wajinga wasiojua michezo hiyo watashangilia

    ReplyDelete
  12. 5:17 wivu utakuua!

    ReplyDelete
  13. Mmesema ooh nyumba miaka kumi haijisha hana hela jux kisha simamisha gorofa kisha filisika hana hela kawaonesha yote hayajawaridhisha.
    Mpongezeni mwenzenu wacheni wivu

    ReplyDelete
  14. Ni mjengo wa ukweli bt cna iman na yy,ali k ndo kilakitu.

    ReplyDelete
  15. Kam unaona ger vaa miwan basi....congrate bro n anaesem amepest naye akapest tuone

    ReplyDelete
  16. Yani wabongo kwann hatubadiliki hivi jamani dai anamiaka 25 anamiliki nyumba km ile hamuoni ahari??ebu mpeni sifa yake anayostahili kumponda tuuu nyie mnaoponda i bet bado mnaishi kwenu kwenye nyumba yakupanga mnamiaka 30 kula kulala kwa baba gb mpaka muende maeneo ya university mjiunge mkija nyuma ya kamera mnatomboka mapovu yanawajaaa mxiiii yes katoka tandale hapo anawaambia vijana haijalishi umezaliwa familia maskini kiasi gani unaweza yabadilisha maisha yako kwakujituma nakufanya kazi kwabidiii dont hate b inspired ametoka tandale yupo tgt ushuani vijana acheni kubweteka wake up ubadilishe maisha yako uko kijiweni kazi kuvuta bangi unaendekeza biiiiif na billionere dai shame on you

    ReplyDelete
  17. MAWIVU YAO TU HONGERA SANA DIAMOND!! HAO WANAOCHONGA WANALALA KWENYE MAKUTI NAKUAMBIA!!!

    ReplyDelete
  18. Big up 2 him bhana cauz he deserv crdts for inspiring others.tatizo moja la wasanii wa kibongo kupenda kupost vitu vingi ambavyo c maisha yao halisia,hapo ndio ninapo doubt.

    ReplyDelete
  19. A HUNGRY MAN IS AN ANGRY MAN BOB MARLEY ALIWAHI KUIMBA HIVYO SO UTAFAKARI MSEMO HUO NA UTAPATA JAWABU LAKE

    ReplyDelete
  20. kwenye sifa mtu apewe sifa yake anastahil pongez wasanii wangap mpk leo wamepanga bigup brother

    ReplyDelete
  21. AAAAAH,SASA NMEGUNDUA KUWA KUNA WATU WENGI SANA BADALA YA KUFANYA KAZI NA KUJILETEA MAENDELEO WAO KAZI YAO KUJADILI MAISHA YA WATU MARA OOH FEDHA ZILE SIYO ZAKE ZA FULANI, MTU AKINUNUA GARI UTASIKIA SIYO LAKE LA KIBOSILE FULANI HUO NI USHAMBA,BINAFSI NAMPONGEZA DAIMOND KWA NGUVU ZANGU ZOTE KWASABABU AMEONYESHA NI JINSI GANI ANAVYOJITUMA NA KUILETEA TANZANIA SIFA KUTOKANA NA MAFANIKO YAKE KWENYE MUZIKI ,LAKINI PIA MAENDELEO YAKE ANAYOYAONYESHA,WAPO WATU WENGI NCHINI KWETU WALIKUWA MAARUFU LAKINI UMAARUFU WAO ULIISHIA KUNYWA POMBE ,UZIZI,KUFUJA FEDHA NA MPAKA SASA NIMAFUKARA WAKUTUPWA,EBU ANGALIENI JINSI MUNAVYOMSEMA VIBAYA DAIMOND KWENYE MITANDAO,MAGAZETI NA MAENEO MENGINE LAKINI DAIMOND BADO YUKO JUU HATETEREKI KWA ROHO MBAYA ZENU ZA KUSHINDWA KUTHAMINI MAFANIKIO YA WALE WALIOFANIWA,JIULIZE WEWE MPAKA UMRI HUO ULIOKUWA NAO UMEKIFANYA NINI ANGALAU TU CHA MFANO KILICHOWEZA HATA KUISAIDIA FAMILIA YAKO MPAKA SASA? ACHENI KUFUATILIA MAISHA YA WATU WANYENI YENU,MAJUNGU SI MTAJI, CHAOOO!




    ReplyDelete
  22. wasenge wote

    ReplyDelete
  23. Replies

    1. HONGERA SANA DIAMOND, MUNGU AZIDI KUKUBARIKI

      Delete

Top Post Ad