Diamond Platnumz...Ehee Mimba ya Zari Imetoka !!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi.

Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema:

Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana, itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na mimba inaendelea vizuri, ona picha za kitumbo (anamuonesha paparazi picha za Zari kwenye simu yake).

Kuna wapuuzi wachache tu wanakaa na kujitungia mambo yao ili wajenge mada zao, niliona sana watu wakijibizana na kubishana juu ya hilo, lakini nikutoe wasiwasi kuwa hakuna taarifa kama hizo.”
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WACHAWI WAKUBWA!!! NA WASHINDWE!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. DAh mtakufa na vijaba vya roho mwacheni mtoto wa watu apumue khaaa!!!

    ReplyDelete
  3. PILIPIL USIYOILA INAKUWASHIA NINI?

    ReplyDelete
  4. duh watanzania tufanye kazi tuache kufuatilia maisha ambayo hayatuingizii hata sh. 10

    ReplyDelete

Top Post Ad