Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dr.slaa ni mtu wa watu.

    ReplyDelete
  2. Acha unafiki huyo lazima achezee jela

    ReplyDelete
  3. Upupu mtupu we mwandsh hujielew kwel slaa ndo rais wa mioyo ya watu...kwel hujielew Kabsa...na huyo gwajma asitumie Nyumba za ibada vbaya awe mstaarabu kwenye vdeo alichokuwa anafanya amejitia aibu Tu amuombe pengo msamaha hata Kama kawageuka hakistahili kumtukana

    ReplyDelete
  4. Gwajima, wapi bodigadi wako? We acha usanii, mrudie Mungu

    ReplyDelete
  5. Gwajima amka wewe

    ReplyDelete
  6. Teh teh teh,, wapi bodigadi wa Gwajima?

    ReplyDelete
  7. KASHAPIGWA VIRUS HUYO ANGALIE WATU WA KUWATUKANA AJUI PENGO NDO MUHIMILI WA NCHI HII

    ReplyDelete
  8. imeniuma sana amenifedhehesha sana lazima aende segerea yale matusi siyo kemeo alafu neno la mwisho alitukana wazi rudieni kusikiliza

    ReplyDelete
  9. how i wish wananchi tungejua kinachoendelea nchi hii. jiulizen mbona pengo hajibu au mbona wakatoriki hawasemi nchi ipo pabaya sana ila usipokua kwenye system huwez jua lolote utaishia kulaumu tu.

    ReplyDelete
  10. Hata hata haha gwajima,mwizi wa mchanaaaa.tapeli mkubwa huyu. Anataka umaarufu kupitia watu hana lolote. Na nashangaa kweli yani binadam bwana hata ukiwauzia mavi watanunua Tu ,lol. gwajima nenda segerea.

    ReplyDelete

Top Post Ad