Haya Ndio Mawe ya Barafu yaliyokuwa Yakishuka na Mvua Toka Angani Huko Shinyanga na Kusababisha Vifo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Kama ulisikia Juzi mkoani Shinyanga palitokea Maafa makubwa na kuuwa na kujerui watu kadhaa kutokana na Mvua ya Mawe na Upepo mkali ..Basi hizi picha zinaonyesha Mawe yaliyokuwa yakishuka kutoka angani na Mvua hiyo na kusababisha maafa hayo....


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Geography ya advance nakumbuka mbl now somo linakuja kiuhalisia but sorry for all waliopata madhara.

    ReplyDelete
  2. Polen sana wahangwa mliopatwa na hayo majanga.

    ReplyDelete

Top Post Ad