'Jokate Anatutia Aibu Sana' Wanakwaya Wenzake Waja Juu, Picha za Nusu Utupu Zatajwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jokate 
Ile skendo ya kupiga picha za nusu utupu na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii huku midume ikijirushia na kujifaidia kwa macho, ukijumlisha aibu mpya ya kukata mauno mbele ya wanaume, staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewakera wanakwaya wenzake ambao wamedai kuwa anawatia aibu...

Ishu ya Jokate kutupia picha za nusu utupu mitandaoni si mpya, mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kwa tabia yake hiyo kiasi cha kuwakera wanakwaya hao wa kanisa analosali la Saint Peter lililopo Oysterbay jijini Dar.

Mbali na picha hizo, safari hii anaandamwa na skendo mpya ya kudaiwa kukata mauno mbele ya midume anapokuwa kwenye shoo zake baada ya kutumbukia kwenye muziki wa Bongo Fleva.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu washut up!! Mwenzenu anapiga picha kwa mambo yake muhimu kama hapo ni video yake daaaah kwahiyo mtu asifanye mambo yake yanayompa kula kisa mwanakwaya??? WAo je wako sahihi? Mxiuuu au kwa vile hatuwajui

    ReplyDelete
  2. TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO NDIO UTAONA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO!!! ALIYE MSAFI KWENYE KWAYA HIYO AWE NA UJASIRI WA KUMWAMBIA JOJO UNATUAIBISHA

    ReplyDelete
  3. yakaisari mpe kaisali na ya Mungu mpe Mungu achague sehemu moja

    ReplyDelete
  4. Wanakwaya ... do you own her? Hebu na nyie waandishi pia mwacheni. You are too thirsty for news mnaboa.

    ReplyDelete

Top Post Ad