Kauli ya Askofu Pengo Baada ya Sakala la Gwajima Kumtukana Kupitia Mitandao ya Kijamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

'Kuna mtu mmoja,ambaye hata jina lake silikumbuki,ameinuka na kunena maneno juu yangu,ambayo yamewaudhi baadhi hata yenu.Langu mimi kwake ni msamaha tu,nasema nimemsamehe kutoka ndani ya chembe ya moyo wangu kabisa.
Endapo liko jambo linafanywa na wakuu wa serikali,nadhani hao wanatekeleza tu wajibu wao.
Mimi narudia tena, nimemsamehe tena kabisa na ninawaomba tumuombee ili Mungu adumishe amani ya Taifa hili.' Pengo amesema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. a wise man's words

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii ni Hekima ya kweli. Rev. Gwajima kajiaibisha mwenyewe!

      Delete
  2. kabisa, mtu mwenye Mungu ndioanapaswa kuongea hivi, anatakiwa kuwa na busara katika kufikisha ujumbe, Gwajima hakutumia busara hata kidogo

    ReplyDelete
  3. Wachungaji na utajiri ndoshida yake pesa inakwaida ya kiburi

    ReplyDelete
  4. Utajiri unatabia ya kiburi ndiomanaYesu alimwambia acha yote unufuate,utajiri unamfanya atukane watu ndo wachungaji waleo

    ReplyDelete

Top Post Ad