Kimenuka! Stella Tillya Aka Chagga Barbie Adai Mimba ya Zari si ya Diamond Bali ni ya Mr Katunzi..Diamond Analea Tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

In the on going battle between Zari and Chagga Barbie it has been revealed that Zari’s pregnancy is not Diamond’s! Chagga Barbie wrote to remind Zari that she is carrying a baby for a man she named by one name ‘Katunzi’

This message comes from a lady known as Stella Tillya or Chagga Barbie but due to some circumstances she calls herself Muke ya Muganda. Stella is a Tanzanian Socialite in USA.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

38 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wa tz wanajua mbegu za Diamond hazifnayi mtoto. labda anayajua na kaamua ku deal na Zari ili aonekane kidume cha mbegu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huko USA hamna kazi .kwa nini watu mloo huko kutwaa mitandaoni.Maisha yamewashinda mmechoka kuishi paycheck to paycheck .Wanaume kibao huko USA mmeng'ang'ania waafrika ambao wezi na makuli.HUKO houston ndio toba utakuta mtu anagonbania mwanaume kuli assembly line.tafuteni mwanaume wa maana bwana ndio maana mnawaza mliowaacha Tanzania Uganda Kenya .Wewe upo USA kutwa kutongoza walio bongo.MRUDI.

      Delete
  2. UMECHELEWA UDAKU. WATU WANAJUA KAMA HIYO MIMBA SI YA DAI. ILA WAMENYAMAZA TUU.

    ReplyDelete
  3. mwenye mimba anajulikana, Nassibu nae anajua ila anataka aitwe baba hata kama,

    ReplyDelete
  4. KWANI PENNY SI ALISEMA DIAMOND HAWEZI KUMTIA MIMBA MWANAMKE? HAMKUWAAMINI? BASI KAENI MKAO WA KULA PROJECT KARIBU ITAFIKA MWISHO.

    ReplyDelete
  5. ndo maana bi Sandra ahishi kuumwa, nadhani anajua ukweli na naona aibu sana.

    ReplyDelete
  6. Mwenye nba ya simi ya zarina anisaidie jaman..nimpe tu mawaiza kidogo...
    Those gals r mad n hate u cuz yo cute,rich n happy wt ur life.haijalishi Umri wala pesa zako wazipataje.kwa sasa mengi yatasemwa achana na mitandao ili ujifungue salama mwanao..let them talk lady enjoy your life ZARINA. Mi penda sana wewe dada

    ReplyDelete
  7. Ndo Maana hamwezi kupata maendeleo wa tz baada ya kufanya kazi mnakali majungu tu sijui mimba ya nani inawaausu nini? Mwenzenu yuko bize na kazi nyie mnakalia majungu shauli yenu

    ReplyDelete
  8. HAKUNA ANAE MCHUKIA ZARI WALA DAI. ILA PENYE UKWELI LAZIMA WATU WATASEMA, MAEMDELEO TUNAYAPATA SANA TU ILA TUNATAKA KUMWAMBIA DAI AACHE KIKI KWA SABABU SIRI ISHAJULIKANA. ZARI KAMBAMBIKIA KISA MWENYE MIMBA KAIKATAAA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. baba yako unamjua,umelelewa na baba wa kambo.Kapime DNA tukuone.Kisha nenda kwa dimaond kama hujazaa.acha ushamba walioachana na diamond wamezaa au hawana kizazi.Kuzaa nikuamua nakupanga .kama hujui basi wewe ni kuzii wa mwisho

      Delete
    2. Diamond anampenda ZARI msiombe .Alikuja pale hospitali kumuona mama ake Huyu Zari ni mtu nzuri mnoo jamani.Sasa alikuwa amekaa kwenye ku desk too.Diamond aliomba aliomba aletewe kiti comfortable.Mara simu ya Diamond ikaiita akampa Zari .Yaani simu zake zikiita ZARI anapokea.Diamond anampenda Yule binti jamani .Hao watoto wa huyo Zari wanamwita Diamond Daddy speaker phone ilikuwa on .

      Delete
  9. Nyie mnachekesha maisha bongo magumu, wakubwa ndo wanakula hela Sasa wananchi wafanyeje kama sio kujipunguzia stress kwneye mitandao. Mana mtu akisoma anasahau shida zote. Watanzania majungu ndiyo mtuache na majungu yetu wewe usiyemamajungu unafanya nini hapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watu wote wanao comment na kutukanana kwenye mitandao wapo USA .nyie ndio hamna mbele wa nyuma.Wambea na wazushi mijitu ya Houston

      Delete
  10. mgeninani; 03/28/2015/
    kweli tupu , fikirieni uzalishaji mali muweze kujipatia mahitaji ya lazima, mimba ya nani its none of your business.Ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. shame on you all.

    ReplyDelete
  11. Wewe uliendika mimba against ya diamond na ukushindwee na ulegee kabisa shetani Mkubwa wewe,kwa ni wewe ni nani mpaka diamond asiweze kuzaa?

    ReplyDelete
  12. Chagga is a Tanzanian Whore living US wala siyo socialite he he he. Wanawake wengi humu ndani mishipa ya wivu imewakomaa eti mimba siyo ya Dai haya U WIN ni za BABA ZENU wazazi.

    ReplyDelete
  13. Ngoja niwape true story kuna mama alikuwa ameolewa kisha wakatengana akapata boyfriend mpya kutahamaki akapata u ja uzito kumbe walikuwa mapacha noyfriend alilea mimba hadi mwisho alipojifungua mtoto mmoja alifanama na x husband wake mwingine na new boyfriend .kwa vile yule mama alikuwa honest akasema wazi kuwa alilala na wote ndani ya masaa 72 kumbe wote walimpa mimba na kupima DNA ni kweli walikuwa watoto wa baba tofauti yaani mmoja wa ex husband na mwingine wa new boyfriend maana yangu ni kwamba kama chibu ana wasi wasi akapime DNA kwa sababu mwanamke anaweza kulala na wanaume tofauti ndani ya masaa 72 na mimba isijulikane ni ya nani

    ReplyDelete
  14. Watanzania tuwe na maendeleo jamami kuna mibaba miìingi inalea watoto bandia tofauti na nchi zilizoendelea ndiyo maana kuna kitu kinaitwa DNA test

    ReplyDelete
  15. A.Y INABIDI AMSHAURI DOGO JINSI YA KUISHI KI STAR.

    ReplyDelete
  16. wote wajinga,kama mbegu za diamond azizalishi mpe wewe unaepinga uone kama ujabeba mimba.penny machungu yakupigwa miti kisha katemwa.mwambie ashike mimba tuone.Midomo bwabwaja.Mlimshikie miguu dimamond.Wote nyie mababa zetu sio waliowalea.Watoto wamitaani ili mnakulia mazingira marahisi. wote walioachana na diamond wanawanaume mbona hawazai.Uweli mtupu wapi kapime DNA kama sio yatima.Muacheni domo ale raha .Nashangaa hamuone tofauti ya wema na idrisa.

    ReplyDelete
  17. mapenzi hayani umri stella mwenye alikua anamsifia Domo.Alipoachana na wema akajua nafasi yake sasa kakataliwa analeta kiki zakikuzi.aje tanzania amzalie Domo kama hajatoka mzungu

    ReplyDelete
  18. unaebwabwaja na mjinga na mahayawani, ni nyie mnaemsifia Dai ili alee mtoto si wake.

    ReplyDelete
  19. Nyie wote hapa ni watu wapumbavu munaacha kufanya mishe zenu munawaongelea watu ambao hawakujuini

    ReplyDelete
  20. Hizo habari siozakweli huyu chagachizi anatumiwa kumuharibia diamond na zari.ngoja mtt azaliwe ndio mtauona ukweli

    ReplyDelete
  21. Aliesema Dai hazalishi nan, Dokta ama? Na kwa tatizo gan? Czan kama wote mnaoongea hapa mnawatoto So take care!

    ReplyDelete
  22. POOR DIAMOND

    ReplyDelete
  23. KELELE ZOTE HIZI KISA KICHECHE CHA NYUMBA YA DIAMOND .

    ReplyDelete
  24. Strange,,wamekutana hata 6 months bado tayari the woman is preg!!!!!?????!!Seriously??
    Acha project iendelee.

    ReplyDelete
  25. Nyie porojo sanaa kwanza nyie mnaemsema mwenzenu mnajijua baba zenu nani! nusu yenu watoto wa nje ya ndoa na wengine wenye baba wa kubandikiwa tu.fyuuuuuu.........................

    ReplyDelete
  26. MTASEMA SAAANA UKWELI UTABAKIA PALE PALE MIMBA NI YA DIAMOND. HONGERA CHIBU MTUNZE ZARI VIZURI AKUZALIE MTOTO SALAMA!!! WEE WAACHA WASEMA MAANA NDIO KAZI YAO. WE LOVE YOUR COUPLE!! IS SOO NICE. MAPENZI YENU YA KWELI YAWAZIBE MASIKIO MSISIKIE YA WATU. IPE ROHO YAKO KITU INAPENDA.MUNGU AWALINDE NA MABAYA YOTE YANAYOSEMA JUU YENU.

    ReplyDelete
  27. Akamuulize Ney wa Mitego, mwenzie anakwenda kuchukua majibu ya DNA ya mtoto aliyebambikiwa wake akalea mimba, akaitangaza mitandaoni weee. Mwisho wa siku walipoachana na kumnyang'anya Siwema mtoto siri ikabumbulika, kumbe mtoto mwenyewe baba yake ni mtu mzima mume wa mtu.

    Na si Diamond tu wanaume wengi wa Bongo huwa wanabambikiwa watoto, wajanja wenye pesa zao taratibu huenda Nairobi na kufanya DNA na kurudi na majibu yao kimya kimya. Ukiona bwana uliyembambikia mtoto alisafiri kwenda Nairobi na amerudi kisha hakushobokei tena wala mtoto hamtunzi ujue kishajua kuwa mtoto si wake ameamua kusepa.

    Takwimu za kweli ni hivi zaidi ya asilimia 60 ya watoto wanaokwenda kupima DNA hukutwa hao wababa si wao, ni ukweli mchungu huo lakini ndio hali halisi. Diamond kapime DNA kuondoa utata, mwenzio mwanamuziki wa huko huko Uganda kalea mtoto kaja kupima DNA juzi juzi kagundua sio wake bora ugundue bado mtoto mchanga ndio kazaliwa kuliko kuja kugundua baadae ushajenga bond kisha limwanamke linakuja kukwambia eti mtoto si wako utachanganyikiwa kama Ney wa Mitego bro!

    ReplyDelete
  28. Huyo Katunzi nasikia alikuwa ndio bwana wake wa hapa Bongo ni mtu na familia yake, sasa atakubalije mimba ili iwe nini? Ndoa yake ivunjike? Diamond huyo bwana sio chokest akipata chance baadae atamchukua mtoto wake yaani akisort out issue zake na mkewe. Isitoshe mtu alikuwa na huyo Katunzi huku TZ, kisha alikuwa na Basketballer huko Uganda una uhakika gani kuwa huyo mtoto ni wako peke yako. Mtakuwa mmechangia wengine pua wengine masikio wengine mdomo wengine miguu hahahahahahaaaa Im just joking haiwezekani bwana baba atakuwa mmoja tu.

    Ila na wewe Diamond umezidi mashauzi wacha watu wakukomeshe, na huna hata hela ya kumfikia huyo Katunzi sijui utafanyaje, na ukizingatia mwenzio katerero anaijua si utakuwa unasaidiwa kila siku hahahahahaha.

    Waswahili msibishe jamani haya mambo yanawezekana wala si ya ajabu wala mageni,

    ReplyDelete
  29. Tusubiri tuone vitu.

    ReplyDelete
  30. Hivi jamani kwanini mnamsakama sana huyu motto wa watu? kwani nyie ni mwenyezi mungu mpaka mumkazanie hazai hazai mungu ndio muweza wa yote nyie mnaweza sema hazai mwenyezi mungu kuwaonesha kuwa yeye ndio kila kitu akazaa na ukweli wa hiyo mimba wanaujua wenyewe Diamond na Zari sisi wengine ni wachangiaji tu na tuangalie nini tunachangia tusipende kuwa wafuasi.kumbukeni swala la uzazi maswala ya damu yanachangia wanawake wangapi wananyanyasika kwenye ndoa zao unakuta wanaolewa lakini hawabahatiki kupata motto na unakuta kwa bahati mbaya mwanaume tayari anawatoto.lakini cha ajabu yule mke anapotoka kwa mume huyo na kwenda kuanza maisha mapya na mume mwengine unakuta mungu alivyo mkubwa anapata motto means that uko kwa mume wa kwanza damu zao hazikuendana kwaiyo tumuache motto wa watu mbaya zaidi tunamshirikisha mama wa watu .kumbukeni ya kwamba ujafa ujaumbika wewe unayeshabikia unamkataba na mwenyezi mungu kuwa utaishi milele na katika kuishi kwako huto ugua? embu tujaribu kutumia hii mitandao ya kijamii kwa mambo mazuri yenye manufaa ktk maisha yetu sio kuandika matusi au kushirikisha wazazi .

    ReplyDelete
  31. Hivi na sisi tunao changia tunauwakika gani na tunayochangia? sote tulikuwepo wakati wanaanza mahusiano yao? au tulikuwepo wakati Zari anatiwa hiyo mimba na yeyote yule kati ya hao wanaume wanaozungumziwa akiwemo na MTZ mwenzetu Diamond nazani ukweli halisi anaujua Diamond na Zari na ukweli zaidi utajulikana huyo mtoto atakapozaliwa kwani Diamond yeye ni mpumbavu aje ang;ang;anie mtoto ili hali anajua mtoto si damu yake? Kwani na nyie wanaume mnao changia humu kama mnawake na watoto zenu mnauwakika gani kama watoto ni wenu haswa wale wanaofanana na mama zao.mnatambua kuwa siri ya baba wa mtoto aijuaye ni mama wa mtoto itakuaje kama Zari huyo Katunzi na huyo mcheza basketball kawavuluga baba halali ni Diamond? au pengine hao wanaume wote watatu hakuna hata mwenye hiyo mimba muhusika ni mtu mwingine tofauti? tusipende kushabikia vitu tusivyo vijua undani wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad