Marehemu Komba Asimangwa Mitandaoni, Familia Yalalamika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), John Komba, amelalamikia baadhi ya wananchi wanaosambaza kashfa za baba yake. Anaripoti Sarafina Lindwino…

Gerald Komba, mtoto wa tatu wa hayati John Damian Komba amesema, mitandao karibu yote ya kijamii kumejaa “nukuu chafu za baba yake.” Nukuu hizo, ni zile mbazo alizitoa wakati wa uhai wake.

“Ninawaomba Watanzania wenzagu kuacha kusambaza maneno ya kashfa kwenye mitandao, haswa baada ya mhusika kufariki dunia,” ameeleza Gerald.
Kile anachoita Gerald nukuu chafu, ni ila hadi kufikia leo huko kwenye mitandao ya kijamii kumejaa nukuu zake  chafu ambazo alikuwa akizitoa enzi za uhai wake.

Gerald ameeleza jinsi anavyoumizwa na maneno ya mitandaoni kuhusiana na kifo cha baba yake.
Ametaja moja ya nukuu ambayo imeshika kasi kwenye mitandao ya kijamii, ni ile ambayo baba yake aliitoa katika kipindi ambacho mjadala wa Katiba Mpya ulipamba moto.
Mwanasiasa huyo alijiapiza kuwa ikiwa “Katiba mpya yenye muundo wa Serikali Tatu itapita, nitaingia mstuni.”

“Sasa imetosha. Nawaomba wamuache baba yangu. Kama alihukumiwa tangu akiwa hai, basi huu sasa uwe muda wa kumuombea ili aweze kupumzika kwa salama,” ameeleza kwa sauti ya unyonge.
Amesema, “Nawaomba wananchi wenzangu, waachane na maneno hayo. Yanaumiza familia. Tumuache Mungu atoe hukumu yake juu yake.”
Maneno mengine ambayo yanakumbukwa kwa Komba ni pale aliposema, “Warioba shida. Shida. Shidaaaa.”

Nukuu nyingine ambayo Komba ametwishwa katika mitandao ya kijamii ni ile inayosikika akisema, “…Chadema haitochukua madaraka wakati bado nikiwa hai.”
Wanaochangia mijadala hiyo wanaonyesha kufurahishwa na kifo chake kwa kusema, “…Komba amevuna alichopanda.”

Mchangiaji mmoja katika mtandao wa MwanaHALISI Forum amesema, “Komba ameingia msituni na kuliwa na nyoka.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

31 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana Gerad ndo siasa za bongo zilivyo
    ,nadhani ulitakiwa kumuonya babako angali hai kwa uzito wa maneno yake aliyoyatoa km wewe unavyoumia na ndio wenzako waliumia pindi babako alivyotoa maneno ya kejeli slidhani ataishi milele.,iwe fundisho kwa wote viongozi wenye maneno yasiofaa.,km yeye alikuwa kizuizi basi upinzani wanaingia madarakani mbanaji wao kaondolewa...,watu wa Mungu wanaotafuta kuwakomboa watu wake utumwani hawachezewi wameteuliwa na Mungu mwenyewe atayepinga ni fimbo tu.,kamuulize Farao enzi ya Musa ukipinga neno la ukombozi wa watu wake mapigo tu.,sasa nawewe jifunze ucjekuwa km mzee wako mana wanaondolewa walio kikwazo kwa wenzio,wanabaki watafutao faraja kwa watu....,kazi ya Mungu haina makosa...,

    ReplyDelete
  2. pole kijana mzee wetu alazwe mahali panapostahili

    ReplyDelete
  3. Siyo vizuri kukumbuka mambo ya marehemu kati yetu hakuna msafi kama yupo ajitokeze hadharani tumuone,PUMZIKA KWA AMANI MH:KOMBA.

    ReplyDelete
  4. ...we Gerald, wakati baba ako ana bwabwaja ulikuwa humsikii? au ulikuwa huelewi ?... ukipanda mchicha hayaoti mahindi..

    ReplyDelete
    Replies
    1. wamesubiria afee ndooo wamsemee,kwanini wasiseme akiwa hai,hata siku moja maiti haisemwiii,...mtu mwenye utu hawezi kufanya hivyo....kam alichokisema kibaya wangemwambia akiwa hai...usihukumu usije ukahukumiwa...inaumizaaa kwa kweli watu hatuna utu.

      Delete
    2. hivi nyie mnaomsema vibaya komba maana yenu nini? mbona mnyika kila kukicha maneno yake machafu tu wala hamumsemi? mmen`gan`ania sana swala la marehemu komba mtu wa watuutadhani aliwazulumu chenu. hebu kuweni na heshima na adabu.acheni kumomonyoa maadili.

      Delete
  5. Wewe uliyetoa coment hii, sidhani kama una Mungu. Mbona maneno aliyotoa Marehemu Komba, haikuwa kashfa alkuwa anaongea ukweli kwa alichokiamini. Huna haki ya kuhukumu huku Duniani. Wala ww sio kwamba ni msafi sana,una dhambi zako pia, wala si kwamba umwema sana. Hivi angekufa baba yako mzazi ungejisikiaje?

    ReplyDelete
  6. Nawashangaa sana watu chuki zao za kisiasa mpaka kwenye mambo ya msingi hivi kuna mtakatifu hapa duniani? huyo anayechekelea kwa sasa nadhani ingekua wakati wa kurekebisha yaliyo yake na sio kutafuta kuchafua........na uhakika huyo marehemu hakua na makubwa kama yako wewe unayochekelea na unazidi kujipa dhambi..MUWACHIENI MUNGU KAZI YAKE YA KUHUKUMU NA SIO MJIFANYE KIMBELEMBELE KUA MNAJUA ZAIDI MABAYA YA WATU.. CHUNGENI SANA KAULI ZENU...

    ReplyDelete
  7. wanzoni mwa Utawala wa JK alipata kusema vizazi visije kuchapa viboko makaburi ya Watawala....hii ndio tafsiri yake!!! Hili ni funzo japo wanaambiwa kila siku makanisani na misikitini watubu, lakini wengi wao wamekataa sasa waanze kupima kuanzia msiba huu...What goes around must come around. Mungu ni Mkuu Na Kwa Mapenzi Yake Sasa Kauri Ya ''NIATINGIA MSITUNI'' IMEFIKA UKOMO NA TAIFA HALINA UNASABA TENA NA KAULI HIYO MBAYA KUPATWA KUSEMA NA KIONGOZI WA HAIBA HIYO YA UHAMASISHAJI [PROPAGANDA].

    ReplyDelete
  8. Mungu amepitisha Nguvu zake Kapteni ni miongoni mwa watu wenye Evil ukiondowa hitler na wengine Mungu amlaze katika janga la moto utakaoendelea milele

    ReplyDelete
  9. JAMANI TUWE NA HOFU YA MUNGUU! KWA NINI MNAONGEZA MACHUNGU KWA GERALD? HEE VIUMBE GANI NYIE? HATA ADUI HUSIKIA UCHUNGU MBAYA WAKE ATAPOFARIKI. GERALD WASEMEHE HAWAJUI WATENDALO.

    ReplyDelete
  10. TUMUOGEPE MUNGU JAMANI

    ReplyDelete
  11. Ivi uko chadema ninani aliemsafi mbona mwajidanganya

    ReplyDelete
    Replies
    1. chadema wana msemaji wao mkuu, wewe unaposema hao chadema nani kakutuma, hayo ni maoni ya watu na wala si chama chochote, shika adabu yako.

      Delete
  12. Mimi naomba kuuliza swali kwani kufa ni adhabu au nilazima?

    ReplyDelete
  13. huyu mzee alifila sana mabint wadogo akiwemo lulu akapumzike ale motoo wa milele amechezezeya wanawake sana.hasa nyuma ya maumbile yao.kwa pesa zake.

    ReplyDelete
  14. Jaman mengi yamesemwa mno? Sasa yabidi tuseme yatosha duuu

    ReplyDelete
  15. VIONGOZI WOTE AMBAO NI WACHAFU HATA WAKIFA/WAKIFARIKI MAOVU YAO TUTASEMA TU....Sioni sababu ya kuficha MAOVU . Kama itawasumbua SANA BASI WAJIREKEBISHE....wapunguze NA UFUSKA....WATUJALI WANANCHI WAO , hapo hata ukifa kaburi lako hatuwezi kutemea MAKOOZI..

    NI HAYO TU....ASANTENI .

    ReplyDelete
  16. USIUMIE SANA SISI PIA TULIUMIA HIVYO HIVYO ALIPODHALILISHWA BABA YETU WARIOBA ( BABA WA TAIFA ) HIVYO NAWE VUMILIA TUU LAKINI BABAKO HAKUWA NA ADABU HATA KIDOGO KWA WAZEE WAKE HIVYO SI LAZIMA KUMHESHIMU. SASA JJITAHIDI UWE WAKILI MWEMA KWA WAZEE WASIO NA ADABU KAMA DINGI YAKO

    ReplyDelete
  17. tatizo la wabongo hawataki kuambiwa ukweli, ukisema ukweli eti unakashifu... kwani mh. komba hakusema chadema hawata tawala labda afe? kama hiyo si kufuru ni nini? Mh komba alikuwa zee jinga la kubwabwaja ovyo tu bila kufikiria,,ndiyo maana anashambuliwa, acha kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kijinga aliyosema mh wenu komba...pumbafu sana

    ReplyDelete
  18. NI SAWAA, INABIDI/TUBIDI KUHESHIMU WATALAWA, LAKINI WAO WENYEWE WANAFUNGUA HUU MLANGO WA KUTOHESHIMIWA....

    ( 1 ) WANATUMIA LUGHA MBAYA BUNGENI ( 2 ) WANAFANYA WENYEWE MATENDO MACHAFU MTAANI ( 3 ) TUKILALAMIKA WANASEMA SISI NI WAUZA JUICE TU HATUNA AKILI ( 4 ) HAWAWAJIBIKI…THEY ONLY WAJIBIKA KWA MANUFAA YAO AU IKIWA NI KARIBU NA UCHAGUZI SABABU WANATAKA KURA ZETU.

    JAMANI TUMECHOKA SANA , NDUGU ZETU WANAPATA SHIDA SANA . HESHIMA ITAPATIKANA KUTOKANA NA MATENDO YAO


    NI HAYO TU ...

    ReplyDelete
  19. Mngemsema akiwa hai si maiti kiimani siyo vizuri pia hao mabinti walitaka wenyewe wamekataa shule wanataka utajiri lazima washughurikiwe kiufasaha je mnakumbuka kauli hii"anayekula vya watu naye vyake uliwa"

    ReplyDelete
    Replies
    1. FUNDISHO KWA WALIO HAI!!!

      Delete
  20. Sasa deni litakuaje?kwani ni kubwa na ni mali ya wananchi!WAngesema akiwa hai wasingechapisha!

    ReplyDelete
  21. Baada ya kupata taarifa komba kadedi nilikunywa bia aina ya safari 8 badala ya 4 nilizozoea kumshukuru Mungu kwa kuinusuru tanzania na mfedhuli mwenye kiu ya damu kabla hajaingia msituni kuua!

    ReplyDelete
  22. Keshaingia msituni jamani sasa yaishe.

    ReplyDelete
  23. alifikiri dunia nayo ni ya ccm..haya ccm wameshindwa kumwokoa akale moto wa milele..mzee huyo ni mbaya saanaa kaz yake kashifaaa.kufanya mapenz na vijana nae kazeeka..maden yake vipi bank nipesa za serikari itakuaje nyumba ilikua inauzwa vipi wataishi wapi na mamama mjane nae kazeeka komba alikalia kuponda raha.

    ReplyDelete
  24. VIONGOZI MLIO HAI IWE FUNDISHO KWENU!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad