HomeShinyangaMvua ya Mawe Yaleta Maafa Makubwa Mkoani Shinyanga Watu 35 Wafariki Dunia Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Makubwa Mkoani Shinyanga Watu 35 Wafariki Dunia 3 Udaku Special March 04, 2015 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. ------------------- NAFASI ZA AJIRA JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPAINTERNSHIP VACANCIESGOVERNMENT VACANCIESNGO'S VACANCIES GOODLUCK Tags Maafa Shinyanga Newer Older
poleni xana
ReplyDeletePoleni wahanga wote. Waliotangulia mbele R.I.P.
ReplyDeletePOLENI SANA NDUGU ZETU
ReplyDelete