Mwanamuziki Suma Lee Akata Shauri Aamua Kuacha Mziki, Aagiza Nyimbo zake zifutwe na Redio Wasizipige Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hit maker wa ‘Hakunaga’, Suma Lee amesema kuwa hatafanya tena muziki kwasababu ameachana kabisa na maisha hayo na ameamua kusomea dini ya kiislam

Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’, amesema kuwa hana mpango wa kuzitoa nyimbo zake zilizoko studio ambazo hazijatoka.

“sifanyi tena muziki na nimeachana kabisa na maisha hayo, na nyimbo zote zilizobaki studio nimezisimamisha zisitoke baada ya kuzilipia, “ Alisema Suma.

“kuna wimbo mmoja nimefanya na Cp ambao ndio ulikuwa wa kurudisha kundi la Parklane, pia nimeuzuia, labda Cp auchukue yeye.Kilichobaki ni kuwaombea wazazi wetu waliotutangulia, wengine walikuwa hawataki tufanye kazi hizi, kwa kuwa hawapo na hakuna wakutukataza tena, bora tukae na kuwaombea.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUTAKUMISS KAKA, NA MAAMUZI YAKO TUNAYAHESHIMU

    ReplyDelete
  2. Kila mwenye busara ataheshimu uamuzi wako na wanafiki wataonyesha fikira zao za unafiki ongera kaka

    ReplyDelete
  3. MWENYE EZIMUNGU akujazi kila la kheri.ukifanya mema kesho utakwenda kuyaona.MWENYE EZIMUNGU ni MKUBWA WINGI WA REHMA.hapa ni mapito ndugi yangu.WAONGOZE WALIO POTEA.

    ReplyDelete
  4. Mungu amemuonyesha muangaza. Sio alshabab we uliopotea..fungus bibilia usome.mi in muislamu na data vitabu vote vya mungu invi NNE tu. Ingili,torati,zaburi name Quran.cha tano cha mziki fata wewe

    ReplyDelete
  5. Hizo data umezitoa wapi wewe kenge kwamba ndiyo vitabu vya mungu,mbona hsmujiamini na dini yenu?kusha kuzungumzia dini nyingine mnakera

    ReplyDelete
  6. Mziki ukibuma lazima umrudie mungu,ni kama mgonjwa ambae yupo ICU lazima umrudie mungu.

    ReplyDelete
  7. WADAU NI FOOLISH DAY

    ReplyDelete
  8. @mdau 9;01 kuzungumzia hivyo vitabu Ni kati nguzo Sita za Imani katika uislam yaani kuamini mitume na vitabu vyao wavyoleta sio kuzungumzia dini za wengine kama unavyodai wewe kama angesema biblia basi ungekuwa una point lakini hakusema soma biblia kasema injili taurati zaburi na quran huo ni uislam pole kwa kujisaidia kuelewa

    ReplyDelete
  9. Hongera sana suma lee M/mungu akuengezee imani ya uislam ili uweze kutambua zaidi lipi linafaa nalipi halifai kisha utekeleze.safi sana umefuata nyayo za luni yule aliyekuwa ktk kundi la 2pac ameacha mziki na ameslim M/mungu amemuonyesha nuru hao wanaokwambia umejiunga alshabaab wasubiri bakora zao siku ya siku.

    ReplyDelete
  10. Msitake tukasema mengi nyie c mnafata wazungu wameleta ushoga fuateni basi na hiyo biblia kaja nayo mtume gani?

    ReplyDelete
  11. nyie waislamu mlio safi mnafanya nini huku kwenye udaku?wenzenu walokole hawasogei huku,hii siyo sehemu yenu,nyie ni wasafi kama suma lee ndo maana kaamua kupiga ramli au hamjui maana ya UDAKU?au dini yenu inaruhusu umbea?wanafiki wakubwa

    ReplyDelete
  12. Jibu hilo swali hapo juu halafu ndio ulete comment.

    ReplyDelete

Top Post Ad