Now We Are Here!!.....Wema SepetuTeam Will Faint After Seeing This photo of Kitumbo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Someone Sent this picture of Zari the Lady Boss looking so pregnant to me this  Morning with the Below Caption ...
Now we are here!!.....Wema and Penny will faint after seeing this photo....

Guys is this really?  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Photoshop n bullshit!!mimba inakuwa haraka kama ya panya?

    ReplyDelete
  2. kauziwa mbuzi kwenye gunia Domo, aendeleee kujitapa tuu iko cku atakumbuka maneno ya waganda.

    ReplyDelete
  3. DU! HII MIMBA YA ALMASI AU YA IVAN. NIMEANZA KUWA NA WASIWASI. NAANZA KUAMINI MANENO YA WATU.

    ReplyDelete
  4. sidhani kama Wema au Penny wanaumia na hii kiki. walijua mapema hakuna kuolewa ni kuzalishwa than kuaibishwa, tunasubiri habari muda si mrefu.

    ReplyDelete
  5. Inshallah haitokuwa kudhalilishwa .na inshallah mwenyezi mungu amjaliye ajifunguwe salama kisha mnaka mnaisabiya myezi miwili akipo waonesheni picha watu wako pamoja kitambo toka bado yupo na wema nyiye mkae mna isabu november labda ni november ya 2013

    ReplyDelete
  6. that is not mimba inakuwa kama mti bhana ni kutafuta kiki tu,tuache na WEMA WETU MJINI.

    ReplyDelete
  7. watu mnapata tabu sana, hivi nikitu gani hili shamba la bibi (wema) limewapa mpaka mnajifari hivo? et wema na penny hawaumii, hawaumii!!!!! hahahahaaaa mnachekesha sana

    ReplyDelete
  8. Wabongo acheni ushamba bado munaendeleza mambo ya kizamani yamepitwa na wakati, fanyeni kazi muingize pesa

    ReplyDelete
  9. Yawezekana kuna mtu ana pump hili tumbo na ikifika mwezi wa tano wa hii mimba Domo anakua baba.

    ReplyDelete
  10. hahahha pole domo chai jaba

    ReplyDelete
  11. diamond changa la macho isiii au walianza kitambo

    ReplyDelete
  12. Mkae mkijua kuna mimba feki pia miezi tisa milioni moja miezi miwili laki tatu wachina wapo vizuri sidhani kama kitakua kimekua hivyooo loh Dangote pole mweeh rudi kigoma umtafute mke jamani

    ReplyDelete
  13. TAZAMA PICHA IELEWE VZR JUA NI YA KIPINDI GANI THEN COMMENT!! HII PICHA SI YA UJAUZITO WA SASA ALIONAO! KUMBUKEN MADAM ZARI ALISHAZAA HII NI PREVIOUS PREGNANT!

    ReplyDelete
  14. HIII SIO PICHA YA ZARII JAMANI IMETENGENEWA HAMUONI TU HUO SIO MKONO WA ZARI . WABONGO ACHENI HIZO VIBAYA JAMANI

    ReplyDelete
  15. Hahahahaaaaa eti Wema na Penny watalia, walie kwani wameolewa nae ukewenza? Huyo Diamond hajamuoa Wema, Penny wala huyo Zari sasa walilie nini kusema mke mwenzao kabeba mimba wao hawana? Hovyooooo!

    ReplyDelete
  16. Jamani mnao shabikia kunamimba feki au sijuhi nini hivi kati yetu kunaanayejua hawa wawili mahusiano yao yalianza lini? mambo ya ngoswe tumwachieni ngoswe mwenyewe

    ReplyDelete
  17. kila jambo la heri uenda kwa heri sasa wakioana je? msimjaji mtu na yaliyopita hamuwezi jua labda mwenyezi mungu uko kwingine alikopita haikuwa riziki kuzaa nao uku kwa Zari ndiko alipopangiwa uzazi wake.sisi tumtakie kila la heri ndg yetu na mwenyezi mungu amjalie wasiishie kuzaa tu wafunge na ndoa ili wampendeze Allah na kuachana na udhinifu

    ReplyDelete
  18. Hiyo picha ni mojawapo ya picha za mimba zake za zamani

    ReplyDelete
  19. pengine ni picha ya zamani lkn kama ni hii ya domo.....aaaahhhh kasingiziwa mimba gani inakua km unga wa maandazi ulowekwa hamira

    ReplyDelete
  20. domo anakuwa cheated by huyo manzi...mimba haiwez kuwa haraka kiasi hiyo...

    ReplyDelete
  21. watoto wa cku hzi nuksi& mnazaa hadi na wazee ambao vzazi vmeshalegea! pole sana dangode sio akili yako umepewa shuntama la kiganda. zari ni bibi!

    ReplyDelete
  22. Hii mimba ni yazamani Kati yawatoto wake mmoja, hamuoni hata hilo too lamiaka hiyo. Mimba sio ya sasa jueni kusoma picha.

    ReplyDelete
  23. WAAAMBIE HAO WAMBEA MAANA HATA SURA IPO TOFAUTI NA SASA HATA MWILI UPO TOFAUTI NA SASA. MTAKUFA KWA VIJIBA VYA ROHO

    ReplyDelete
    Replies
    1. WAPE WAPE WATAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO!!

      Delete
  24. WAJINGA KABISA ZARI ANAONEKANA MDOGO TU HAPO ICHA YA ZAMANI KABISA

    ReplyDelete

Top Post Ad