Picha: Zari the Bosslady Atua Kwenye ‘Ikulu’ ya Diamond, Atupia Picha ya Paja Akiwa Kitandani kwa Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

First lady, Zari the Bosslady ametua rasmi kwenye nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo yeye mwenyewe anaiita ‘state house’
Zari amepost picha hii kwenye Instagram akiwa kwenye chumba cha kulala kwenye nyumba mpya ya Diamond

Mama kijacho huyo amepost picha akiwa kwenye chumba cha Diamond kilichopo kwenye nyumba hiyo iliyopambwa kwa vitu vingi vya thamani.

Gypsum ya chumba hicho kipo customised kwa jina lake.

“Gotta love my current view,” aliandika Zari kwenye picha inayoonesha gypsum hiyo. Subscribe to UDAKU TV
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jitu zima ovyooo!

    ReplyDelete
  2. ZARI ANAPENDA VYA WANAUME KASHIKA MIMBA ILI AVILE KAMA KWA IVAN. MASIKINI DOMO.

    ReplyDelete
  3. Kainginzwa mjini kama si tantale.

    ReplyDelete
  4. Zari kashozoea kuonyesha uchi wake hapo Nassib angenunua na toy kabisa awe anajichua maana huyu mama hatosheki.

    ReplyDelete
  5. MAMA MAVUZI ANAHAMU YA KUMCHUNA DOMO KWA STAIL HII.

    ReplyDelete
  6. DAH !! KULA TANO DIAMOND!!!

    ReplyDelete
  7. Warushe roho malimbukeni,,,,,,,,

    ReplyDelete
  8. diamond nikupe udhsuri mzuri kutoka moyoni no kwamba usioe mwanamke anayekushinda sana miaka after 10 yrs utajichukia kwa uamuzi ulioufanya kwa sababu wewe utakuwa 35 wakati huyo mke wako atakuwa 51 na tayari atakuwa amechuja wakati wewe bado unashaini fikiria twice before doing it

    ReplyDelete
  9. Warushe roho malimbukeni !,,

    ReplyDelete
  10. LIMBUKENI WEWE USOJIJUA NANI MAMA NANI BABA, UNAHANGAIKA KIGUU NA NJIA KUMPA KIKI MTU ALOONA PESA UKUBWANI, HANA CHOICE HATA YA RANGI.

    ReplyDelete
  11. HATA MKIANDIKA VIPI DOMO HASOMI UDAKU,,, MWACHENI ACHUNWE KWANI HAWAJUI WAGANDA? THEY ARE AFTER MONEY!!!!!

    ReplyDelete
  12. Zari kazoweya kuchukuwa vya wana ume na wena je? Kazoweya kuchukuwa vya wanani?
    Kawaida mwanamke amchukuwe vya mwanamme na mwanamme achukuwe vya mwanamke

    ReplyDelete
    Replies
    1. kiswahili cha uganda?mweeeeh!

      Delete
  13. MANENO YAMEJAA WIVU TU!! YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE!!!

    ReplyDelete
  14. NA YA KWAKO MUACHIE BAA MED.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU WAKO TU!!!

      Delete
    2. WIVU UMEKUJAA MPAKA MACHONI!!!

      Delete
  15. mwacheni domo apate mtoto akiwa na nguvu, afya na mali bwana, mnataka pesa zake wawe wanakula mademu tu . zari we zaa tu mamii

    ReplyDelete
  16. NDIO!! HAO WANAWAKE WATOTO MBONA HAWATAKI KUZAA?? AU MIMBA HAZISHIKI? AU WAGUMBA? MWACHANI ZARI WA WATU KAKUBALI KUZALIA CHIBU. BIG UP ZARI !! YOU LOOK SOO NICE THAN THOSE YOUNGER THAN YOU!! MAKE DIAMOND HAPPY!!!

    ReplyDelete
  17. Mtoto wa nani vile hehehehee huyo Diamond afanye DNA mtoto akizaliwa tu yasijemkuta ya Ney bure. Takwimu zinasema kuwa asilimia 60 ya watoto waliopimwa DNA wamekutwa hao waloambiwa baba zao si baba zao. Diamond angalia mwaego utaletewa mimba nyingine na wasichana wa mjini kwa ajili ya mjengo.

    ReplyDelete

Top Post Ad