Prof. Lipumba Akwepa Uzinduzi Wa ACT- Wazalendo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wananchi waliohudhuria uzinduzi wa chama cha ACT-Wazalendo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi Cuf Prof.Lipumba anadaiwa kukwepa uzinduzi wa chama kipya cha siasa cha ACT-wazalendo. Uzinduzi wa chama hicho umefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo 29 Machi 2015.

Aidha,Prof. Lipumba ni miongoni mwa wageni walioalikwa kutoa mada katika uzinduzi wa chama cha ACT-Wazalendo kufuatia habari zilizotolewa na chama hicho.

Hata hivyo wageni waalikwa kutoka nje ya nchi ambao ni Samia Nkrumah, Kiongozi wa Chama cha CPP cha Ghana na mtoto wa Rais wa kwanza wa Ghana, Osagyefo Kwame Nkrumah.
Wengine ni Ababu Namwamba-Katibu Mkuu wa Chama cha ODM cha Kenya; Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Kenya, mabalozi wa nchi mbalimbali walioko nchini, kiongozi wa vyama rafiki vya Ujerumani, Die Linke na Umoja wa vyama vya mrengo wa kushoto Progressive Alliance nao hawaja hudhuria uzinduzi wa chama hicho.

Katika hatua nyingine wanachi mbalimbali walijitokeza kwa wingi kuhudhuria uzinduzi huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ONGERA ZITTO KARIBU UGOMBEE UBUNGO PAMOJA NA MNYIKA NA NAPE NAUYE TUONE MTIFUANO WA UKWELI

    ReplyDelete
  2. chama feki hiki, kimefadhiliwa na ccm kuja pokonya kura za UKAWA hiki, na hakitafika popote!!

    ReplyDelete

Top Post Ad