Shamsa Ford 'Wanaosema Nimeachana na Mume Wangu Labda Wanamtaka'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho.

Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa hajaachana na mumewe huyo na wote wanaosema hivyo watakuwa wanamtaka.“Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele, nashangaa hao wanaosema kuwa tumeachana labda wanamtaka,” alisema Shamsa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. punguza kukaa uchi basi

    ReplyDelete
  2. mmmm shamsa nakuamini saana lkn hii nayo nini kweli huyo mume kama kweli unae ndio anaetaka uuze mtandaoni kweli kwani ungeweka tu picha ya kawaida ingeunguua eeee? au mumeo ndio hayo mapaja yanakuletea kula bado unayo, mmh utachina sshv uanike na makalio shaurio..

    ReplyDelete
  3. Time's runnin'out dadaangu tulia naye huyo mmeo si unaona mapaja yako ngozi imeshaanza kuchakaa kdg kdg mng'ao hakuna tena so it's up to u take or leave it sorry kama nitakuwa nimekukwaza dadaangu lkn that's the truth of the nature mwanamke huchanua kama ua na kusinyaa/kufifia baada ya muda kama ua

    ReplyDelete

Top Post Ad