Siri ya Diamond Kuhamia Kwenye Nyumba Yake Mpya Fasta Fasta Yangundulika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

HATIMAYE siri ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuhamia kwenye mjengo wake wa kisasa uliyopo Tegeta -Madale jijini Dar imevuja huku ikitajwa kuwepo na vionjo vya ushirikina.

Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka huko hadi mitaa aliyoizoea lakini shinikizo lilikuja kutoka kwa mpenzi wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’  ambaye tangu aliponasa ujauzito amekuwa akitamani kuwa karibu na mpenzi wake huyo ila ilikuwa ikishindikana kufuatia mazingira aliyokuwa akiishi mwanzo Diamond, Sinza-Mori, D

“Ndugu yangu kama unataka kufahamu undani zaidi wa hiki ninachokueleza muulize Diamond mwenyewe atakwambia, Zari siku zote alikuwa akitaka kuwa karibu na Diamond, hasa baada ya ujauzito lakini ndugu zake walikuwa wakimkatalia kufanya hivyo kwa kuhofia mimba yake kuchoropoka kutokana na vijicho vya watu.

Jumamosi iliyopita, Diamond alikata shauri na kuhamia kwenye makazi yake mwenyewe baada ya ujenzi wa miaka karibia mitatu. Kwa mujibu wa mkandarasi mmoja, nyumba hiyo mpaka kukamilika kwake, imetafuna karibu shilingi milioni mia nne (400,000,000).
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kijicho kipo sawa sikatai, ila kwanini mufikirie watu watawaonea kijicho ivoo dua piga kisomo ata apo kwako hope umeita mwalimu kupasomea na kutoa sadaka vitu kama ivo vinaondoa hasada, ila uyo mama kijacho nae ana dini eeehh! ama mpagani mana uislamu kauhama ukiristo hautaki mweeeh!

    ReplyDelete
  2. Hamna cha kijicho wala kidomo, huyo Domo anahaha na mimba ya ajuza, haamini kama ni yake. mwanamke mwenyewe bado anampenda x wake Ivan. yatakuja kuwa kama ya Ney.... ooh mtoto si wako tutayaona hapa hapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU UNAKUSOMBUA WEWE !!!! HUNA POINT. WIVU MPAKA KWENYE KOPE!!!

      Delete
    2. ACHENI WIVU NYINYI WASHENZI WA TABIA PUMBAVU ZENU NYINGI

      Delete
  3. We anonymous 3:33 acha wivu wa kipumbavu. Ww lazima uko katika list ya wale wanaonunuliwa air time na Sepetunga na yule mama ake asie haya. Waache watu waishi maisha yao. Kama Zari bado anampenda Ivan au hampendi haikuhusu. Kutwa unatoa mifano ya watu mara Ney mara Ivan. Kaa uangalie maisha yako na mabwana zako wasio na mbele wala nyuma. Mbwa koko wee. Mfyuuuu

    ReplyDelete
  4. Ajuza wapi mpe mama yako basi ambaye bado ana bikira,

    ReplyDelete
  5. Ajuza wapi! Mpe mamako basi ambaye bado bikira

    ReplyDelete
  6. Kiboko yake ni Chaggabarbie huyo Zari, kama hampendi Ivan anagombana nini na Chagga barbie? Si amuache tu na yeye afaidi pesa za sembe

    ReplyDelete
  7. Zari yeye Kama ame move on kwa nini anagombana vita vikali na Chagga I fond see any point.Diamond yuko naive pole yake

    ReplyDelete
  8. jamani acheni maneno yasiyofaa fanyeni kazi ili na nyinyi mfike hapo alipo fika mwenzenu maneno haya jengi ila hekima na busara tu

    ReplyDelete

Top Post Ad