AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nini Maoni yako juu ya Majeshi haya ya Vyama?
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mmmh napita huo uchaguzi unaokuja itakua balaa
ReplyDeleteIwapo Katiba inaruhusu iwapo hairuhusu waache
ReplyDeleteMatokeo yake ni Vita vya wana mambo
ReplyDeleteHawana lolote hawa mabishoo....subiri uchaguzi uone virungu vya FFU mutizame kazi woote watakwenda mbio na vifua vyao kama majogoo ya shamba.
ReplyDeleteCCM nayo iwe na jeshi,NCCR nayo wataamua hivyo,CUF hawatashindwa nao,na wengine wengi,Mwisho wa yote ni nini kama sio vita?Watanzania kabla ya kuaamua jambo tufikirie.
ReplyDeleteNDO MANA NAICHUKIA CHADEMA WANAPENDA VURUGU MNNOO,, WATANZANIA TUNAJUA WANATAKA MADARAKA TU,, WATUOMBE TUTAWAPA,,FUJO ATUJAZOEA NA TANGU WAO WAWE JUU ATUNA AMAN,,ADI KWENYE MIKUTANO LAZMA VURUGU IWEPO WAWE WASTAARABU TUMEWAELEWA MBONA
ReplyDeleteWEWE ACHA USHAMBA NA GREEN GUARD CHA CCM MBONA HUSEMI????????
DeleteWAACHE TABIA MBAYAAA
ReplyDeletekama wapo chini ya serikali ya ccm watachapika tu
ReplyDeleteWapumbavu tu hao wanataka kuleta vita tu na kuvuruga maisha ya watanzania wenye AMANI
ReplyDeleteILA GREEN GUARD CHA CCM KIKO HALALI???
DeleteKama ni hivyo vikundi vyote vifutwe na hata cha ccm.
ReplyDeletewewe wasema
ReplyDeleteChadema ni ya makamanda,imechoka kuonewa na kurushiwa mabomu kwenye mikutano yao na polisi,lazima wJilinde.
ReplyDeleteWALE VIONGOZI WOTE WANAOIBA NA KULA PESA ZA UMMA WAKAE CHONJO KWANI CHA MOTO WATAKIONA. HATA MIMI NINA GAZABU NAO. TUNAWASUBIRI CHINI
ReplyDeleteKUNYA ANYWE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA... JE GREEN GUARD YA CCM NI YA NINI??
ReplyDelete