Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.

Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?

Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Loo?, Kua na heshima, Hujui una mdhalili lisha mwana mke hapo, hususan wajamii yako. Kwani ukoo wenu, kabila lenu, mkoa wenu, hukuna mwanamke mwenye thamani yake?, Wa ulize kwenu kwanza ndio uje ktk jamii nyingine.

    ReplyDelete
  2. wacha ujinga we muandishiiii

    ReplyDelete
  3. Unamkuta bikra ndio.Lakini nyuma walishamla tigo cku nyingiiiii!!! Ndo mabinti wa kizanzibar walivyo kama unabisha waulize wenyeji.

    ReplyDelete
  4. unakuta binti zanzibar mbele hajaingiliwa ila mara nyingi hufanya kinyume na maumbile nilishakutana na binti wa dizain hiyo akanipa mgongo mbele alikataa kabisa

    ReplyDelete
  5. Wanaume wa Unguja wanapoozea hamu zao kwa7bu kuwa machangu doa wengi wanakuja kutoka TANGA.

    ReplyDelete
  6. wanawake Zenji wana bikra ya mbele, ila ya nyuma zinaondolewa sana na wazee wao na vijana wa mtaani;

    ReplyDelete
  7. nakuunga mkono mchangiaji ni kweli wanawake wa Zanzibar wanabikra hii ni kama desturi yao ukiolewa hlf ukawa na bikra ni heshima kubwa sana kwa wazazi, kwa hilo hata mm nawaunga mkono, lkn mabinti wa Zanzibar hawawezi kustahimili mihemko ya mwili badala yake wanafanya mapenzi kinyume na maumbile sana tu na ndio tabia yao kubwa!!!! sasa heshima iko wapi hapi hapo!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WAAMBIE HAO HESHIMA IKO WAPI?

      Delete
  8. Shikamooni wote walioandika na kutoa comment

    ReplyDelete
  9. Si unaona ukiisikiliza mimbo yao ya taarab mafumbo mengi ndani yake na mara nyingi huwa ni kuhusu "TIGO"Duh hicho kisiwa cha Zanzibar balaa kwa ngono za kinyume na maumbile mbele bikra nyuma knocked engine

    ReplyDelete

Top Post Ad