Wema Sepetu Aamua 'Kuolewa'. Aenda Kumtambulisha Mume Nyumbani Kwao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema – Diamond Platnumz.

Wacha BongoMovie iendelee, Sisi yetu macho na masikio. Tunaisubiri ndoa hii kwa nguvu zote.

Unahisi Diamond na Zari watahudhuria kwenye harusi hii? Tupe maoni yako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upuuzi mtupu.......!!

    ReplyDelete
  2. Pole Ivan! Wema kunguru asiyefugika huyo, kashindwa JUMBE!

    ReplyDelete
  3. haya maisha ya maigizo yanawacost wapumbavu.

    ReplyDelete
  4. uongo mtupuh!!!!!!

    ReplyDelete
  5. UPUUZI TU!!! MMEKOSA CHA KUANDIKA??

    ReplyDelete
  6. Mwacheni ajiliwaze jamani viiipiiii?bado hajapata mtu(mwanaume mwenye mapenzi) wa kumshari mana hata huyo wa tetesi bado atamzingua tu mana anafanya kwaajili ta maslahi ta moyo na sio roho.,namwonea sana Wema huruma maana anahangaika kutafuta furaisha nafsi huku roho haijui ikishindwa chagua ni mtu gani sahihi wa kuwa nae.,hv mnanielewa wadau????anitafute nimshauri huyu dada maana maono niliyonayo kwake kwa staili anayoishi mwisho wake atachanganyikiwa(kuwa kichaa)tumuombeeni jamani avuke hapo......mkong'oto jaz-band....kiaina wana...,

    ReplyDelete
  7. Jamaa hawezi chukua demu kama wema ambae hanamipango yamaisha zaidi yakutupia picha zake mitandaoni,pili atajizaraulisha kuanamke ambae hajielewi

    ReplyDelete
  8. Wema hanasifa zakua mke muulize zari atakwambia

    ReplyDelete

Top Post Ad