Wema Sepetu Amkana Kajala Masanja live.."“Sikuwahi Kuwa na urafiki na Kajala"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Hali ni tete, Madam ameibua bifu upya alipofunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na Runinga ya EATV, hapo ndipo ilipodhihirika kwamba wawili hao hawawezi kuzikana wala kusameheana.

“Wafuasi wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa na lengo la kumvua nguo mwenzake, yale matumaini ya kusameheana hayapo tena, ni bifu hadi wanakwenda kaburini,” kilisema chanzo hicho.

Kwenye kipindi hicho, mbali na mambo mengine, Wema alieleza kuwa Kajala hakuwahi kuwa rafiki yake lakini alijitolea kumlipia faini kumuepusha na kifungo kutokana na kuguswa na kuingiwa na moyo wa huruma kama msanii mwenzake.

Sikuwahi kuwa na urafiki na Kajala, kilichonifanya niwe karibu naye ni mwanaye ambaye alikuwa akinipenda na kutaka kukutana na mimi...,” alisema Madam.

Kupitia kipindi hicho, Wema pia alizungumzia kiini cha ugomvi wao ambapo alianika kinagaubaga kwamba alichukizwa na suala la Kajala kumsaliti kwa kutembea na mchumba wake aitwaye CK (yule kigogo aliyesumbua mjini kwa kutapanya fedha).“Kajala hana fadhila, huwezi amini mtu ambaye niliamua kujitolea kwa moyo wangu kumlipia Sh. milioni 13 huyohuyo aje kutembea na mchumba wangu, huku ni kukosa ubinadamu kulikopitiliza,” alisema Wema.


Je ni Kweli Wema Hakuwahi Kuwa na Urafiki na Kajala?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CK hakua mchumba wako wema hebu muogope mungu,CK alikua mchepuko wako na alikua na mke na watoto,Milion 13 hukutoa wewe alitoa CK kwa kupitia mgongo wako kuwa mkweli,na kama kajala alikusaliti kwa kutembea na CK,isiku uume sana maana hata wewe mke halali wa CK aliumia sana ulimpo mpora mumewe,kumbuka my dear msemo huu"what goes around comes around"Usipanic piga kimyaaaa.

    ReplyDelete
  2. malaya wote hao

    ReplyDelete
  3. We anonymous hapo juu nyie ndo watu wa kutosaidia kabisaa hata kama unazama mtoni shukrani hamnaga, the fact remains that of all the people Wema helped her.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usilolijua litakusumbua.Ukweli ni huu.Ck alikuwa anatoka na kajala kwa siri sana kabla ya
      kupata matatizo.CK alivyo na tabia ya umalaya akamtamani wema,Wema kwa tamaa ya pesa akakubali kuwa nae.kwa kupitia wema Ck akatoa zile pesa kumpa wema akamtolee kajala kwa kuwa alikuwa bado anampenda.,hivi ndivyo ilivyokuwa.Sasa tuambieni nani mwenye makosa kati ya hao?CK,Kajala au Wema

      Delete
  4. HAA CK ALIKUUMA MUME WA MTU????? WEE VIPI?? NYIE WOTE WEZI MWENYE MUME KATULIA!!!

    ReplyDelete
  5. K UPO POUWA SANA ACHANA NAYE !!!

    ReplyDelete
  6. DO NOT ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MIGHTY NOT NOTICE THE DIFFERENT

    ReplyDelete

Top Post Ad