ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...

Wadhamini wa chama ni akinanani.?

Kama mtanzania nahitaji majibu?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ulitaka washindwe kuendesha ili uishie kulaumu tunavyombea vyama vyote heri cha msingi vifuate sheria za nchi

    ReplyDelete
  2. Kuna wanachama wenye pesa nawamechoka ufisadi unao fanywa na ccm kwahio siotatizo kukipa pesa ACT na sio lazima wajulikane

    ReplyDelete
  3. swali zuri sana ndugu mwandishi, hawa wanafadhiliwa na ccm, bila ubishi, huyu zito siyo mpenzani huyu huyu ni mlafi wa madaraka na pesa, hamna kitu hapo, alishindwa tangaza walioficha mapesa uswisi ndiyo atakuja tudanganya hapa, Mungu tusaidie na huyu mtu, hatutakii mema kabisa watanzania na ulafi wake.

    ReplyDelete
  4. Muacheni Zito na ACT, msiwe wajinga, Sijamuona Zitto akisema vibaya vyama vingine vya upinzani, kwa nini nyie mnamchukia? anachofanya ni kutngaza sera za chama cha ACT na kukosoa serikali ambavyo ndio msingi hasa wa vyama vya upinzani. Kwa nini mnamuandama? kama wewe unapenda CCM basi elezea sera zake, Kama wewe unapenda CHADEMA ruksa nenda kwa wananchi elezea sera zake. Mlitaka Zitto afanyeje? acheni chuki binafsi, kueni waelewa,

    ReplyDelete

Top Post Ad