Adam Mchomvu wa Clouds FM apata Scholarship ya kwenda kusoma China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China kujifunza zaidi fani hiyo.

Akiongea kweye 255 ya XXL, mwanzilishi wa kituo hicho na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amedai kuwa Adam ni designer mzuri anayetakiwa kupewa elimu ya umaliziaji ili aive.

Ruge amemwelezea Mchomvu kama mtu mwenye kipaji na mwenye ubunifu mkubwa. Hivi karibuni kituo cha THT kilianza kujihusisha pia na masuala ya ubunifu wa mitindo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wachina wanajazana ulaya na Marekani kusoma, Wabongo wanakwenda China kusoma?

    ReplyDelete

Top Post Ad