Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivy
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ..aache bange kwanza ndo agombee..na kunywa ovyo ovyo na kuvua nguo hadharani ni kosa la jinai, watanzania wameshtuka sio vilaza kama anavyodhani.. alifikiri kwenye siasa ndo pa kupeleka njaa.. this time round mambo yamebadilika.. atoe historia ya alichowai kukifanya katika jamii ili aweze kuaminika kupewa ubunge..

    ReplyDelete
  2. KAMA WAGOMBEA UBUNGE NDIO HIVI HMMM TANZANIA TUMEISHIWA, MAENDELEO TUTAYASIKIAGA TU, SASA HUYU ANATAKA UBUNGE ILI AUAGE UMASIKINI, NJAAA KALIIII!!!!! KILA MTU ANATAKA UBUNGE HAPOO SASA

    ReplyDelete
  3. Unaleta mambo ya vijiweni hapa acha dharau.

    ReplyDelete

Top Post Ad