Aliyekuwa Mume wa SHAMSA FORD Alipiza Kisasi, Amwagia Sifa Siwema Aliyekuwa Mchumba wa NAY WA MITEGO Kumuumiza Shamsha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!


Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!

Hizi ni picha alizoweka kwenye Instagram na kumwagia sifa Siwema.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAHAHAHAHAHAHA
    ILA SHAMSA KABUGIIIIII NA INAONYESHA SHE WAS CHEATING SINCE!!!!!

    NA WALA HAJIFUNZI, BABA TERRY ALIKUWA KUUTWA MITANDAONI, MY HUBBY MY LOVE, MY KING SIJUI LELE LELELELEL WATU TUKAMWAMBIAAA MAPENZI YA KUJIONYESHA HAYAAAAAAA!!!!

    HAYA WEEEEEE ONGEZA IDADI MAMA MWANAUME ATABAKI KUWA MWANAUME WEWE NDIYE UTABAKI KUWA MALAYA

    ReplyDelete
    Replies
    1. ATABAKI KUWA MWANAUME NA UKIMWI !! WEWE BADALA YA KUONYA UNASHABIKIA NA KUJISIFU ETI MWANAUME ATABAKI KUWA MWANAUME.!!! ATABAKI NA UKIMWI PAMOJA NA UANAUME WAKE!!!!

      Delete
    2. MTASAMBAZIANA SANA VIRUS BADILI TABIA NYIE WASAANI!!! NA MDUARA WENU HAYA!!!

      Delete
  2. hata siwema aliambiwa hivyo hivyo alivyobeba mimba watu walisema huyo si muoaji hiyo group inajulikana so muache naye shamsa ale pesa za nay kama zinalika akitaka na mtoto amzaliye , atambae zake hapo ni eat and run

    ReplyDelete

Top Post Ad