Baada ya Kumzalilisha PNC..Ustadh Juma na Musoma Afulia Mbaya Kwa sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.

Tupe Maoni yako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaa alikua mtumiaji mzuri akawa anamwaga pesa kwawanamziki iliatajwe jina huki wazazi wake wakiishi maishamagumu sana hatawadogo zake walifukuzwa shule kwakukosa ada.km mzazi wako hanafuraha basi hatamipango yakohaitakaa sawa

    ReplyDelete
  2. Siku zote jogoo la shamba haliwiki mjini.. Anamuiga Ndama mtoto wa N'gombe

    ReplyDelete
  3. Acheni majungu jamaa bado ni taita njooni hapa sinza karibu na lion hotel nyuma ya nyumba ya mzee Mabuyu utamkuta akiwa fleshi kabisa.Ana pesa na magati ya maana na vijana wengi wanafika kupata misaada toka kwake hata nyie mnakaribishwa mje mpate mahela sio kama yale ya jei!

    ReplyDelete

Top Post Ad