Breaking News:Al-shabab Wavamia kanisa huko mombasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu wanaosadikiwa kuwa ni al shabab wamevamia kanisa la ACK cathedral huko mombasa sasa hivi kuna majibishano makali ya risasi kati ya polisi na watu hao

Update
polisi wamefanikiwa kuwaokoa waumini 100 waliokuwa kanisani kwasasa wanasubiri bomb squard waje kwakuwa kuna gari linasadikiwa walikuja nalo hao magaidi

Update zaidi:
all is well polisi wamechukua hayo yaliyoegeshwa karibu na kanisa na hao wasomali huku matairi ya magari hayo yakiwa hayana upepo . hakuna aliyedhurika lakini "Wasomali"hao wamekimbia na hawajakamatwa for the first time kudos Kenya police force
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SERIKALI YA KENYA INABIDI WATOE MAJESHI YAO SOMALIA BILA YA HIVYO RAIA WASIO NA HATIA WATAKUFA

    ReplyDelete
  2. hakuna ukweli kuhusu hili tukio ....porojo tupu

    ReplyDelete

Top Post Ad