Breaking News:Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Muda Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kinachoendelea Muda huu nyumbani kwa Gwajima ni Polisi wenye silaha za moto wameizingira nyumba ya Gwajima ..Habari tulizozipata ni kuwa Jana Gwajima Alitakiwa aripoti Polisi na Kupeleka Hati za Mali alizo agizwa lakini hakufanya hivyo ..Hivyo muda huu Polisi wako kwake kwa ajili ya kumkamata lakini Mpaka sasa Gwajima amejifungia Ndani na Polisi Wameshindwa kuingia Ndani Kwa ajili ya Kumkamata.....

Tutaendelea kuwapa Kinachojiri....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mchungaji tooka

    ReplyDelete
  2. Anaogopa nini kama ni mali zake halali?

    ReplyDelete
  3. JEURI YA PESA

    ReplyDelete
  4. mchungaji waombee kwa jina la yesu polisi wote wayayukee

    ReplyDelete
  5. Safi sana,
    kwa utajiri huo hata mimi nakubaliana na jambo la kumhoji,
    Yesu huyu ninamuamini mimi hatuelezi hayo unayofanya Gwajima.

    ReplyDelete
  6. MAKUBWA HAYO SASA POLISI WENYE SILAHA ZA MOTO! KWANI HUYO MTU WANAEENDA KUMKAMATA NI RAMBO?


    ReplyDelete
    Replies
    1. HATA MIYE NIMESHANGAA SANA SILAHA ZA MOTO NA NZITO WHY???????????

      Delete
  7. Na majambazi wangekuwa wanayazingira hivyo tungelala kwa amani. ILA sababu wanajua hana cha Moto ndo wamejifanya wanajua kazi yako. Usaniiii mtupu

    ReplyDelete
  8. NYIE WOTE HAPO JUU HAMJUI MSEMALO. LA MUHIMU NI KWAMBA POLICE WETU WENGITUMIA NGUVU KUBWA KAMA HII KUSAKA WAUAJI WA MAALIBINO NA VIKONGWE NA WAVAMIZI WA VITUO VYAO VYA POLISI NA SIO KUPOTEZA MUDA NA NGUVU NYINGI KWA GWAJIMA KAMA VILE NI DIKTETA. INATIA AIBU TENA AIBU KUBWA SAANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad