Chakujifunza Kutoka kwa Wolper, Kajala na Irene Uwoya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama ulikuwa hujui basi nakuhabarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel. Hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, marehemu kanumba. Bifu hilo lilifikia pabaya ambapo mastaa hao walirushiana maneno makali kwenye mitandao kila mmoja akimshtumu mwenzie kumuibia bwana ake, bifu hilo lilidumu kwa mda mrefu, lakini sasa ivi mastaa hao wameshibana na kuishi kama ndugu, ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.

Unakumbuka kipindi kile kwenye Interview ya zamaradi mketema alipowahoji irene uwoya na wema sepetu kuhusu bifu lao na jackline wolper? Bifu lilikuwa zito, ambapo chanzo kinadaiwa kuwa ni mwanaume, warembo hao walinuniana na kutupiana maneno machafu mitandaoni. Hivi sasa mastaa hao wanaishi kwa amani na maisha yanaendelea.

By Warumi-on JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chakujifunza toka kwao ni kuzaa nje ya ndoa,umalaya,kubeba waume za watu na kujichubua kua weupe,hapo sawa kabsa

    ReplyDelete
  2. TUJIFUNZE KUCHANGIA MBOO MOJA KUTOKA KWAO ?

    ReplyDelete
  3. He he...ni sheeedar

    ReplyDelete
  4. HIVI HUU UKIMWI UMEENDA LIKIZO?? UNGEMPATA MMOJA KWANZA NDIO TUNGEJIFUNZA!!

    ReplyDelete

Top Post Ad