CRDB Kujenga Ukuta wa Fensi ya Nyumba ya Daimond Platnumz Ulioanguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Benki ya CRDB imepanga kumjengea ukuta wa fensi wa nyumba ya Daimond Platnumz ulioangushwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. CRDB wamesema hayo kuwa watamjengea ukuta huo kwa kuwa Dai aliikatia Bima nyumba hiyo.

Gharama itakayotumika kujenga ukuta huo ni milion 15.

Chanzo: E-Fm Radio
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mameneja nao washaweka chao hii ndio bongo ukuta milion-6 watu wanakula zilizobaki,aisee Kufa kufaana!

    ReplyDelete
  2. milioni 15 inatosha kujenga kibanda cha kuishi

    ReplyDelete
  3. UJINGA MTUPU.. LEO HAMNA CHA KUMSIFIA BWANA YENU.

    ReplyDelete
  4. diamond,crdb wote mnatuchanganya tu..ukuta huo unapakwa gold nn hadi thamani ifike mil 15,acheni uongo na wizi

    ReplyDelete
  5. Mwenyenacho atazidi kuongezewa,mbona hawakumbuki ndugu zetu Shinyanga

    ReplyDelete
  6. Wasadiye na ndugu zetu wa Shinyanga

    ReplyDelete
  7. wote mnaokataa 15m kujenga ukuta hamna nyumba, so keep uo ass far from construction costs in Tanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. umesema ukweli wanadhani kujenga ukuta ni mchezo. wamezoea kodi ya nyumba 120000 kwa mwaka wanadhani ndio ngarama ya ujenzi.wajenge mbona watafyata midomo

      Delete
  8. Mwacheni ale jasho lake bwana,wabongo cjui mnamatatizo gani..

    ReplyDelete

Top Post Ad