Diamond ajibu mapigo ya wanaomchukia kwa video hii ‘sexy’ ya Zari akiwa kitandani!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond ana ‘characters’ nyingi ambazo huzitumia kulingana na wakati uliopo. Huamua kuwa mshari na mswahili pale anapokuwa akipeleka ujumbe muhimu kwa upande pinzani!


Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’.

Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house!

Kwenye video hiyo ambayo unasikika wimbo maarufu wa kihindi ‘Kuchi Kuchi’, anaonekana Zari akiwa kajilaza kitandani na gauni jekundu la kulalia. Kwenye video ya kwanza, Diamond anawaonya ‘haters’ kwa kuandika: ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight.

I am taking you straight to state house,’ anasikika Diamond akiongea kwenye video hiyo. ‘I see my beautiful baby she is right there.’

Katika video ya pili, staa huyo ameandika: Sasa si uniunfollow kama Nakukera.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure #StateHouseByNight.”

Kwenye video ya tatu anaandika: Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? #StateHouseByNight.”

Kama unavyoweza kufikiria, video hizo zimesababisha hasira kali upande wa upinzani ambao hadi muda huu wanaendelea kushambulia kwenye ukurasa wake kama nyuki waliochokozwa!

Video hii Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kiukweli Nassibu ajifunze heshima sasa kashajua Zari kashaonyeshwa na x wake ana sex toy anajichezea na yey anaanza kumuonyesha kapanua miguu. cku isiyo na jina wakiachana itakuwaje?

    ReplyDelete
  2. WAHANA THAMANI MBELE YA WATU, WASHAZOEA KUJIONYESHA KWAO SI TATIZO HATA WAKITIA WATAONYESHA WATU. ALIE MZALIA WATOTO 3. HAKUMTHAMINI ITAKUWA DOMO.

    ReplyDelete
  3. mapenzi ya kitoto bado dai anayo, anafikiri ndo kiki. lakini itakuja kumkost siku moja. na bi kizee anaona kapata bwana.

    ReplyDelete
  4. tuliyaona ya Ney na Siwema mpaka wakazaa. wako wapi.. tusubiri ya njimbo za kihindi.

    ReplyDelete
  5. UMALAYA UNAMSUMBUA SANA ZARI. KILA DAKIKA ANATAKA KUTIWA. DOMO HAMJUI VIZURI AMUOE BAADA YA MWAKA NDO ATAJUA MAHARAGE SI MBOGA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna lolote wewe unapanuliwa mpaka na baba yako mishipa yakutoka ya nini kwa mwezio kajambe mbele hiloooo

      Delete
  6. Nyie wenye mapenzi ya kikubwa au mnaojua kujudge maisha ya watu..mbona yenu yamewashinda, mmeshaachana na mabwana au wanawake wangapi ?? mngkuwa masuperstar si magaazeti yangejaa uchafu wenu. bora huyo Diamond wanawake zake tunawajua na hata 10 hawajazidi. Wanaume wangapi TZ wana wanawake zaidi hata ya 100 kwa ujumla...achilia mbali wasiojulikana... ???? kila mtu aishi maisha yake...hata kama wakiachana baadae muhimu wanaenjoy mnooo kw asasa. We are living now, today, not yesterday, not tomorrow. Muhimu ni sasa..yajayo tunamuachia mungu. Hata nyie ya kwenu yanayokuja..muombeni mungu tu. Ndio mjuzi.

    ReplyDelete
  7. DUUUH CHILDISH!!
    UNAJIDANGANYA KOZI WENYE KAZI ZAO HAWANA TEAM!! WAKO BUSY KUSAKA MAHELA.

    HAHAHA UNACHEZA NA WASIO NA KAZI NA WAVIMBA MACHO BABA.

    KUMBUKA NYIE NI MUSLIMS THOUGH HUYO MPENZI WAKO ALIBADIRI DINI.
    KUMUANIKA MWANAMKE (MKEO) KAMA HIVYO KATIKA DINI YETU NI DHAMBI KUBWA SANAAA.

    RUDI KWA MUNGU DIAMOND!1 AMESHAKUONYESHA YEYE ANAWEZA, AMEKUTOA USWEKENI KAKUWEKA DUNIANI. KITU CHA KUFANYA SASA NI KUBADIRIKA NA KUWA MTU WA SHUKRANI KWAKE. ACHANA NA WATU WASIO NA LIFE!!

    ZARINA.
    MWANAMKE AKIWA KATIKA HALI HIYO YUKO KATIKA LIFE AND DEATH!!
    KUMBUKA ONLY ALLAH KNOWS WHAT YOU'RE CARRING!! HUWEZI JUA UMEBEBA NINI MPAKA UTAKAPOJIFUNGUA, UMEJIFUNGUA OMBA MTOTO AWE SALAMA KWANI VIJICHO, MIDOMO, NA KUSUDI YA UBAYA NI HUSDA MBAYA SANA KWA MJA.

    UTAONA KAMA NI KUWAKOMESHA WATU KATIKA MITANDAO KWA UPUMBAVU WAKO KUTOFIKIRIA MBALI, LAKINI KUNA WATU DIAMONDO WANAKUCHUKIA KUTOKA NDANI YA NYOYO ZAO, CHUNGA SANA HUSDA ZA WATU.

    KAA FIKIRI MANENO YANGU.

    ReplyDelete

Top Post Ad