Diamond Akiri Kulifahamu Tatizo la Wema la Kutopata Mtoto Muda Mrefu, Adai Walijaribu Kulitafutia Tiba Lakini Hawakufanikiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa muda mrefu, Diamond Platnumz alikuwa akilijua tatizo la mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu la kutoshika mimba.

Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Kuhusu kile Wema alichokiandika kwenye Instagram hivi karibuni ambapo alieleza ukweli wa hali yake ya kutopata mtoto, Diamond alisema ujumbe huo ulimuumiza kama wengine walivyoumia.

Alisema alikuwa anafahamu jinsi watu wanavyomshambulia Wema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutopata mtoto na amemsifia kwa kuusema ukweli.

Hata hivyo aliwashauri watumiaji wa mtandao ya kijamii kuitumia vyema na sio kuitumia kuwatusi mastaa wao kwakuwa ni kweli maneno yao huwaumiza kama binadamu wengine.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wote makuma tuu hao

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama hauwezi kutoa ushauri siuache tu kwani lazima. matusi yanini?

      Delete
  2. Aache kunywa pombe zake za kinishai yaani azikatie kabisa mwili upumzike na dhoruba la alcohol kama 1 year hivi hapo mtu akianguka naye tu maneno kitu pwani hicho pombe noma sana ila watu wengi ambao ni wanywaji sugu hawaishtukii kuwa pombe ni adui mkubww sana wa binaadamu ikikithiri kupita kiasi

    ReplyDelete
  3. acha umbea we diaminf domo kubwa .....

    ReplyDelete
  4. Pombe wapi huyo misindano ya surgery imemmaliza hana lolote

    ReplyDelete
  5. for the first time in my life i feel to love you diamond siku zote sikupendi leo nimekupenda for your comments pls keep it up wewe na wema mmetoka mbali usimkashifu pls

    ReplyDelete

Top Post Ad