Diamond Platnumz Amvisha Pete ya Uchumba Zari Kimya Kimya..lemutuz Atoboa Siri Kwenye Letamkoz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wenyewe wakiwa wamefanya siri tukio la kuvalishana pete ya Uchumba , Lesuper star Lemutuz amemwaga mchele kwenye kuku wengi kwa kufichua siri kupitia page yake ya Instagram kama ifuatavyo:

"FROM THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK....here is LE TAMKOZ TWO....Mwenye Mkono ni The Bosslady Zarina Hassan...ni Pete ya ENGAGEMENT RING ...from my KING ..the KING OF POP MUSIC IN EAST Naseeb Diamond Platznumz ..and the Bosslady Zarina Hasan is PREGNANT by MY KING THE KING DIAMOND PLATZNUMz and the BABY is a GIRL....thank yah my Big Sponsors Stone Block Building Materials & the Double Tree Hilton Hotel.....my people thank yah and LOV U ALL NAWAPENDAZZZ U KNOW and I am humbled! - le Mutuz

Kisha Akaandika Maneno haya Hapa Chini:

They are my Friends and they are very good people wana mapungufu yao so are we..they are the Biggest Super Stars in East Africa at this moment wala haina Ubishi loong time ago at the Birthday Party of Aunt Ezekiel I met Diamond he was Super down I told him to find a solution cause Matatizo hayampati mtu asiyekuwa na jawabu ukiona una matatizo na huna jawabu ujue ni super gademu mburulazzz dead mazafantaz.....now I saw him on Sunday the man was happy and for that I am happy for him too and he was very protective of his Woman....ukikutana na mpenzi mpya utakuwa kichaa kutaka kujua mambo yake ya zamani ili yakusaidie nini?....Baba yangu aliniambia "Mwanamke ni kisima unless umemuona mtu anakichota huwezi kujua kama kilichotwa" ...ndio maana mimi baby wangu nitaamini ana cheat only nikimkuta hana nguo na yupo kwenye act sio vinginevyo wala maneno ya mburulazzz....mapenzi sio mchezo naona kuna watu wanayazungumzia kama Yanga na Simba na binadam unaheshimika kwa msimamo ninasema tena na tena these are my people sina uadui na mtu ingawa najua kuna wanaojiita maadui zangu mimi nasema ni maadui wanaojichukia wenyewe cause HATUFANANI...mimi nina DEGREE 3 wao hawana ni FACT sio OPINION...now this case of LE TAMKOZ TWO is closed tuendelee na mengine JAMANI USIKU MWEMA SANA! - le Mutuz

Hongereni Diamond na Zari kwa Kufikia Hatua Hiyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siku ya wajinga

    ReplyDelete
  2. nais diamond anamnusuru mjane

    ReplyDelete
    Replies
    1. mjane kwan kafiwa na mume?

      Delete
  3. DIGRII 3. NA HUNA AKILI HATA YA KUBADILISHA SHATI.

    ReplyDelete
  4. sasa wataoana mahakamani au... maana bibie si alibadilisha dini kwa Ivan. au atakuwa kama worpa anabadilisha dini kwa kila mwanaume ampayae.

    ReplyDelete
  5. amuoe hakuna tatizo ila huyo mwenye degree 3 hana akili kama mkewe Sinta wanapenda kujipendekeza sana kwa watu wenye kutaka kiki. wakiachana story itabadilishwa.

    ReplyDelete
  6. DOMO ASUBIRI MTOTO AZALIWE THAN APIME DNA. BI KIZEE NI FUSKA WA UG. HAMJUI VIZURI... KAMPAPATIKIA TU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na Domo malaya sana TZ,
      Kwa hiyo ngoma drooooooooooooooooo

      Delete
  7. akili zangu mimi pete nisingetaka aende kwetu kwanza sio wazazi wamuone kwenye mtandao mbonai mwafundenge alivishwa pete na mama ake hakua na habari ya uchumba mna vituko nyie dot com, mi iyo pete ina maana (for now am dating her ) kwani uzito uko wapi waoane bana they love each other get bless from parents its all matter

    ReplyDelete
  8. Asubiri mtoto azaliwe kwanza maana ataaibika

    ReplyDelete
  9. Diamond utawavalisha pete wanawake wangapi? Na utawadanganya kuwaoa wanawake wangapi? Meninah je au atakuwa mke mdogo kwa Zari?

    ReplyDelete

Top Post Ad