Diamond: Rais Anajuwa Mambo Mengi Kuliko Mimi Kwenye Muziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kijana huyu akihojiwa na Gadina wa Radio Efm kwenye kipindi cha Ubaoni amesema,Rais amempigia simu juzi na kumuliza saizi ya koti analovaa ili amletee zawadi kutoka Marekani.

Pili amesema wakiongeaga na Rais huwa Rais anajuwa mambo mengi ya muziki huko Amerika kuliko yeye.

Nimejiuliza hivi ni kweli Rais JK anaweza kufanya hivyo ukizingatia majukumu mazito yanayomkabili juu ya taifa na wananchi wake?

Ni kweli Rais JK anajuwa mambo ya burudani na vinavyojiri kwenye ulimwengu wa muziki kuliko Diamond?

Au kijana baada ya kupewa nafasi na Mh. Rais ameanza kujisahau na kuhisi ni saizi yake?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Raisi boyz to men unategemea nini?

    ReplyDelete
  2. kwani hammjui diamond anapenda sifa sana, toka lini rais ampigie mtu kama yeye amuulize size ya koti. kwa kuimba mapenzi na kubadilisha wanawake?

    ReplyDelete
  3. LIMBUKENI WA TANDALE HUYO. NANI ASOMJUA USHIRIKINA NA SIFA ZA KIJINGA ANAZIPENDA SANA, ATASHUKA MUDA SI MREFU.

    ReplyDelete
  4. Kashajua anashuka kwa kiki zake sasa anamtafuta rais ili watu wajue yuko juu, hanith tuu

    ReplyDelete
  5. Raisi huyu hafanyi lingine Zaidi Ya kuangalia mziki wa bongo flavor youtube and kuhudhuria mazishi.

    Kingereza kibovu Sana na hana upeo wa kimataifa. Yes, nimesoma, yes Ni mchuzi yes ninakaa dunia Ya kwanza.

    Before your uncivilized characters start attacking me kindly know I know my stuff...

    ReplyDelete
  6. Yaap! Rais anajua mambo mengi kuhusu muziki wa Diamond,, Ameshindwa kujua maisha ya wa Tanzania walio duni kwa miaka yote aliyokaa madarakani,, Je, Huyu ni kiongozi bora? ama ni Rais wa Masharobaro?

    ReplyDelete
  7. hivi kweli huyu rais yupo seriazi kweli yaani hii hainiingiinakilini kabisa ina maana kapanda ndege kwa kodi za walala hoi ndo kazi aliyokwenda kufanya hiyo huko marekanin du hii kiboko albino wanauwaa yupo tu ,wakandarasi wanaidai serekali hela kibao yaanibaada ya kushugulikai mambo ya wanainchi ya muhimu yyeye anampigia simu mwanamziki yaaíni basi tu

    ReplyDelete
  8. Mhh?!!!!!!Kweli?!!!!huyu dogo yuko sawa sawa kichwani kweli?!!!!!! Mr President?!!!kama napata ganzi ya ubongo hivi?!!!ukizingatia watanzania tusivyo na shida yeyote wala changamoto yoyote inayotukabili!!!!

    ReplyDelete
  9. KAMA NITACHAGULIWA KUWA RAIS WA TANZANIA, KAZI YANGU YA KWANZA ITAKUWA NI KUWAWEKA JELA NA KUTAIFISHA MALI ZOTE WALIZONAZO MARAISI WOTE WATANZANIA NA SERIKALI ZAO! UPUUZI KAMA HUU UNAUMIZA WATANZANIA WALIO WENGI... FUNGA TU!

    ReplyDelete

Top Post Ad