Dr. MENGI Ashtushwa na Taarifa za yeye Kutaka Kuiangusha Serikali ya Kikwete

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Dr Mengi amesema ameshtushwa na taarifa zinazomshutumu kuiangusha serikali ya Rais Kikwete.

Habari hizo zilichapishwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' likieleza mipango ya Mengi kumwadabisha Rais JK hata baada ya kumaliza muda wake.

Mengi amesema Rais alipewa taarifa hizo na Zitto Kabwe (kwa mujibu wa gazeti hilo) na anashangaa kuona mpaka sasa Kurugenzi ya mawasiliano ikulu haijakanusha.

Mengi ameendelea kusema kuwa Rais ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote kwa hiyo kutokanushwa kwa tuhuma hizo kunampa hofu ya maisha yake kwa sasa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah kazi kweli kweli!!

    ReplyDelete
  2. Mengi kwani lazima uwe mwanasiasa?

    ReplyDelete
  3. Zito mnafiki sana huyu jamaa aiseee.,anamchongea Mengi kwa kikwete eti alitumwa kuiangusha serikali ta mrisho aaaa huyu jamaa hafaia.,kaharibu chsma cha watu kwakuwagawa watu bado analets tema unafiki...,fuata yako we jamaaa vp wamanyema ndo mlivyo dag???km kweli naona umekaribia kufa aisee huogopi kumchongea mwenzio Mengi au wivu msenge wewe zito wewe mchawi nini we mtoto daah.....?uyu nae hafikiriii akismbiea kitu anapenda kushikiwa akili akawii kumpa mtu kesi km mzee wa mivaloooo tutoke wote.,shauri yenu malipo sasaiv mdasimrefu mtapata majubu yenu......,mnazingua sana kazi mmeboronga mnakalia unafiki...,mnaudhi sanaaa.,

    ReplyDelete
  4. ILA HUYU MZEE AMEWAPASHA SANA SERIKALI YEYE ALIPENDA MALI TULIZONAZO NCHINI TUIINVEST WENYEWE WANASISA MAMBULULA WANAMUONA HANA MANA

    ReplyDelete
  5. L I S E M W A L O L I P O , K A M A H A L I P O L A J A

    ReplyDelete

Top Post Ad