Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kujikuta wakifanyiwa vitendo visivyofaa.

“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani kulia kwa sauti kubwa pamoja na yote Lakini Hapana jamani!! Na hofu maisha ya baadae ya watoto wetu “- Faiza aliandika kweye ukurasa wake mtandaoni

Kufuatia andiko hilo, watu wengi walionesha hasira zao kwa vijana wenye taibi hizo na kuikitika  juu ya maadili yetu kumong'onyeka kadrisiku zinavyozidi kwenda na kuwataka watu waache tabia hizo chafu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wee unasema wanaume wengi siku hizi wanapenda K umejuaje wee umeshawahi ombwa na ukatoa

    ReplyDelete
  2. Weee ndo unajua leo? wakati mashoga wapo wengi na wanazidi kuongezeka na sio maisha magumu hiyo ni hulka yao.

    ReplyDelete

Top Post Ad