Familia Yaweka Wazi Jinsi kifo Cha Secky wa Lulu Michael Kilivyotokea...Ukweli Huu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Familia ya marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Seky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake kuwa Lulu Michael Amehusika..

Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali.

Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa mdau mkubwa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, hivyo msiba wake umegusa tasnia hiyo.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Secky mahali pema peponi. AMEN.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmhh mabwaku icho kichwa cha habari!! have some respect kwa maiti angalau izikwe kwanza duuh pipoz!!!

    ReplyDelete
  2. DAWA YA WANAUME MICHEPUKO NI MAOMBI TU. WAMAMA TUAMKE. WANAUME MICHEPUKO WAFE TU WATUEPUSHIE BALAA ZA MAGONJWA NA STRESS ZISIZO NA MPANGO, FINALLY MIHELA YOTE ALOKUWA ANAHONGA WANAWAKE INARUDI KWA MKEWE. HONGERA BI ZAWADI KWA KUDUMU KATIKA MAOMBI, WEWE NI MFANO WA KUIGWA.

    ReplyDelete
  3. KILA MTU ATAUCHUKUUUUUWA MZIGO WAKE MWENYEWE.......

    ReplyDelete
  4. ALIUMIZWA NA KIIOO KWA NAMNA GANI?? MBONA HABARI HAIJAKAMILIKA????????????

    ReplyDelete
  5. maaelezo hayajitoshelezi pia kichwa cha habari ni utata mtupu!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Haya Lulu..who is next? ?!!

    ReplyDelete

Top Post Ad