Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; kesi yake haina mahusiano na Pengo!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari ndio hiyo, Gwajima ameburuzwa mahakamani muda huu na polisi.

Kwa taarifa niliyoipata inasema hivyo. 

Updates......

Kwa mujibu wa taarifa kutoka jeshi la polisi ni kwamba, Mashtaka yanayompeleka Gwajima Mahakamani hayana mahusiano na kashfa zake kwa Kardinali Pengo.

Source: ITV
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani ITV imekuwa TV ya udakuspecially,wote tulikuwepo mahakamani na mashtaka yake ni mawili matusi na kushindwa kuidhibiti silaha,sasa hao akina mangi habari za umbea wamezipata wapi?Tutaona na kusikia pumba nyingii kutoka katika vijarida vya udaku vya ipp na tv udaku itv mwaka huu!

    ReplyDelete

Top Post Ad